Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwan mkuu siku ile gem ya simba na yanga ungewekaje? haijalishi ni timu za hoke kwetu zikizingua zimezingua tu.
Mkuu Yanga ama Simba wakiwa dar 2+ ni rahisi sana kutokea halafu pia huwa ina odds kubwa 1.40 hadi 1.50
 
f1ce33ac22a1918ff70488a892047084.jpg

Thank me later
 
Wakuu nnachomfanya kanji kwenye inplay mechi ya Valencia anajutaaaaaa

mpaka half time Valencia anaongoza 1-0 nikamtupia inplay ya Valencia kupata goli la 2..dakika si nyingi nikampiga mshiko

fasta nikakimbia tena kuweka Valencia kupata goli la 3...dakika si nyingi nikamfumua tenaa....kudadeeeki hapa kashanipa mtaji wa maana...Inplay tamu sana

upload_2017-11-4_16-42-26.png


upload_2017-11-4_16-43-2.png
 
Leo muhindi anajuuuuta!!!! nimehamia inplaya ya Stock city na Leicester city..tayari nshampiga

Jamani inplay ina rahaaaa saaaana

upload_2017-11-4_16-53-19.png
 
f68830a6aced213515ed96ae5d798b94.jpg

Wadau hizo tatu mnazionaje nataka weka 1.5 zote af nitupe elf50 hapo:
 
Back
Top Bottom