Give me next tip...please
Mkuu bado mechi haijaisha nipo ICU hapa hadi waongeze bao la piliUpo vizuri mkuu
BET WONBaada ya jana kupigwa 50k nimebakiwa na 100k yote naiweka kwa Pardebon ashindd dhidi ya Osnabruck ana odds 1.68 x 100k = faida napata 68000
nikipigwa na hii napumzika kwa wiki 2
Achana nao Fanya ishu nyingine!!!!![emoji2] [emoji1] [emoji1]Wakuu,
Meridian bet wanasumbua inplay haikubali
Achana nao Fanya ishu nyingine!!!!![emoji2] [emoji1] [emoji1]
App gani nzuri sasa? Tuambie bossKutumia app ya meridian inataka moyo.. APP ina crash
leo najua ungempa yanga au sio? afu kitu sare mpira mpira tu iwe wa hapa au 'yuropu'Mkuu Yanga ama Simba wakiwa dar 2+ ni rahisi sana kutokea halafu pia huwa ina odds kubwa 1.40 hadi 1.50
NO huwa nawabetia wakiwa darleo najua ungempa yanga au sio? afu kitu sare mpira mpira tu iwe wa hapa au 'yuropu'
App gani nzuri sasa? Tuambie boss
Naomba nielekeze namna ya kudeposit pesa princess betmungu ni mwema wakati wote kwamazoea ya vipigo leo nikajikuta naweka stak hio nakupata hio.![]()
Naomba nielekeze namna ya kudeposit pesa princess bet
Asante boss nimefanikiwaNenda kwenye kulipa bili, then namba ya kampuni andika 262222 namba ya kumbukumbu andika namba yako ya simu. Mfano: 0714138038