21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Kampuni ganiLeo muhindi anajuuuuta!!!! nimehamia inplaya ya Stock city na Leicester city..tayari nshampiga
Jamani inplay ina rahaaaa saaaana
View attachment 623968
Kampuni ganiLeo muhindi anajuuuuta!!!! nimehamia inplaya ya Stock city na Leicester city..tayari nshampiga
Jamani inplay ina rahaaaa saaaana
View attachment 623968
Asee ni kweli ila woga wa vichapoSasa mkuu hapo ungefumba macho ukaweka ata ten.
Leo ...
![]()
Tips za inplay wazee mechi ya Liverpool na mechi ya Bayern wekeni over 3.5goals
Kampuni gani
Nimewakimbia hao. App inafuta selectionKutumia app ya meridian inataka moyo.. APP ina crash
Wana app mkuu kama vip unisaidie link kama hutojaliPremier betmkuu
Mamaeee Fernerbahce ...dk ya 89 kwl una. nyima hela, daaaah !!!! ... kuna timu hakyanani huwezi kuziamini kbs, mojawapo ni huyu mpuuzi Fernerbahce .. [emoji36] [emoji36]
Hao Fernerbhahce ni timu ya kipumbavu kweli asikwambie mtu Walininyima hela Dk 90 + 6
![]()
![]()
Inplay inplay inplay.. So good!!
Wakuu kama mlifuata hii inplay hapa bado goli moja kwenye mechi ya Bayern ujivutie mpunga wako saaafi
Mkuu hii ni kampuni gani?