Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Sasa mkuu hapo ungefumba macho ukaweka ata ten.mungu ni mwema wakati wote kwamazoea ya vipigo leo nikajikuta naweka stak hio nakupata hio.![]()
Sasa mkuu hapo ungefumba macho ukaweka ata ten.mungu ni mwema wakati wote kwamazoea ya vipigo leo nikajikuta naweka stak hio nakupata hio.![]()
Dakika za lala salama duuuuTeam inayoitwa Att Madrid kuibetia yataka moyo sana. Ushindi wake ni wa kusua sua, Magoli hairuhusu wala haifungwi.......
Lakini si Imeshinda MkuuTeam inayoitwa Att Madrid kuibetia yataka moyo sana. Ushindi wake ni wa kusua sua, Magoli hairuhusu wala haifungwi.......
Inaweza ikakuua na presha hii team, kama hutaki kuiaga dunia mapema ni bora kuachana nayo tu[emoji1] [emoji1]Dakika za lala salama duuuu
Mkuu game karibu 10 haja score goli zaidi ya moja... Sasa c majanga haya... Hapo hapo kabla ya leo ana sare 3 mfululizo...Lakini si Imeshinda Mkuu
[emoji4] [emoji6]
Safi sana naona umeshindaView attachment 623945Nasaka mtaji wa NBA na ice hockey baadae.
Timu zote zingekuwa kama Pardeborn hata Magufuri angebeti.
Ndio mkuu, namsubili mkuu Koncho baade kama ataweka mzigo maana naona keshatimiza lengo la leo kwa pardebon.Safi sana naona umeshinda
Natafuta odds 1.50 naweka 100k kwa nhlNdio mkuu, namsubili mkuu Koncho baade kama ataweka mzigo maana naona keshatimiza lengo la leo kwa pardebon.
daah isingekuwa goli moja kukosekana mechi ya perthy glory, odds 10 hizi zilikuwa zinatoka kabisa mubasharaaaOdds 10 hizi (2-6) ....Tumjaribu hapa, maana hakuna aijuaye kesho
TNS na odd ya kimaku amepigwa na kilaza kweli![]()
Kama umekutana na Hawa Leo na wamekunyima mapene
Bila kumsahau Boroa sijui
Gonga like[emoji30] [emoji30]