Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daily 2odds

Football League Trophy
Wigan - Accrington Stanley
12 1.17

Isthmian Football League, Premier Division
Harlow Town - Leiston
12 1.24

Isthmian Football League, Premier Division
Tooting & Mitcham - Burgess Hill Town
12 1.21

Development League
Falkirk U20 - Partick Thistle U20
12 1.18

Odd 2.078
Mkuu hizo Odds ni sahihi?
 
5bc30f0876c56cb2c1a81cfac0df75c8.jpg
Jamani kunakitu leo nimeshuhudia mkeka bet ambacho sikuwahi tegemea kama kuna wizi na ulaghai kama huu unaweza tokea, labda sikuwa ugundua mapema kutokana na stress na vipigo vya mara kwa mara
Sasa leo nilikuwa nimebet timu moja over 2.5 goals lakini mwisho wa siku kuangalia mkeka nikakuta bet lost, lakini nikawa na mashaka ikabidi ni google kwenye website hizi nyingine nikakuta mechi imeisha 3-0 ikabidi niwapigie after kutoa detail wakadhibitisha kwel nime win,
Sasa nilikuwa nataka kutoa angalizo kuwa tuweni makini sana kwani kanji anatumia kila mbinu kutufirisi hadi ku fake matokeo
Picha nimeweka hapo juu mnaweza nanyi mkagoogle muone ukweli wa ninacho kisema
Hiyo hata mm ilishaga tokea hata kwangu. uzuri huwaga napitia matokeo yote ya mechi nikawabamba.
 
Umm-Salal SC v Sadd SC ebu tazameni head to head ya hawa jamaa cjui kanji kakosea kutoa Odds maana kampa away Odd 7 kwa direct win wakati head to head home huwa anakufa akipona ni sare tu
''

Yuko sawa hawajakosea. Al Saddd ina kosa huduma ya wachezaji wake muhimu wa kikosi cha kwanza takriban 10 wanao endda kuwakilisha timu zao za Taifa na kwenye mashindano ya Olympic..

Wafuatao: Saad Al-Dosari, Khoukhi Boualem, Musab Kheder, Hassan Al-Haydos, Salem Al-Hajri, Hassan Ahmed, Fahad Shanin, Meshaal Al-Shammari, Yousef Abdulrazaq, Abdelrazaq Hamedallah na Meshaal Barshim,wengine ni Morteza Pouraliganji(Iran) na Baghdad Bounedjah(Algeria)
 
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
today betting tips
time 11:30 PM time_zone (+6)
Lecce vs casertana
tips: Home win
Reggina_1914 vs Siracusa
tips: under 3.5

time 12:30 AM time_zone (+6)
Deportivo_Amenia vs Midland
tips: under 2.5
Yupanqui vs Real_pilar
tips: under 3.5

time 01:00 AM time_zone (+6)
Dep_Merlo vs Defensores
tips: under 3.5

time 01:30 AM time_zone (+6)
Oldham vs Newwastle united
tips: over 1.5 / Home win

N:B: Choice is yours, Betting carefully,
Risk is your, Not betting Too much,
and please do not blame us anybody,
[emoji460][emoji460][emoji460] Good Luck [emoji460][emoji460][emoji460]
 
Ngoja leo njarib kokolo, mix football, basketball & tennis. Odd 7
Screenshot_20171107-194442.png
Screenshot_20171107-194420.png
Screenshot_20171107-194406.png
 
wakuu wa basket hivi Cleveland Cavaliers leo atashinda kweli dhidi ya Milwauke Bucs.
 
Booking Number: 5VWSV3Y
07/11/2017 18:39:52
Code 1005 Date 07/11/2017 20:45
Event Charlton - Portsmouth
Live/Prematch Normale Selection No
Code 2184 Date 07/11/2017 20:45
Event Morecambe - Leicester City
Live/Prematch Normale Selection Away 1-3
Code 2185 Date 07/11/2017 20:45
Event Wigan - Accrington Stanley
Live/Prematch Normale
Selection 1X & Under
Code 2187 Date 07/11/2017 20:45
Event Coventry City - West Bromwich Albion
Live/Prematch Normale Selection (0:3) 2 H
Code 2938 Date 07/11/2017 20:30
Event Bradford City - Rotherham
Live/Prematch Normale Selection Home 1-3
Code 6955 Date 07/11/2017 20:45
Event Worthing - Dorking Wanderers
Live/Prematch Normale Selection Over
Stake: ₦ 1,700.00



For recovery☹
 
Back
Top Bottom