sule Genius
Member
- Sep 6, 2014
- 70
- 18
Mkuu hizo Odds ni sahihi?Daily 2odds
Football League Trophy
Wigan - Accrington Stanley
12 1.17
Isthmian Football League, Premier Division
Harlow Town - Leiston
12 1.24
Isthmian Football League, Premier Division
Tooting & Mitcham - Burgess Hill Town
12 1.21
Development League
Falkirk U20 - Partick Thistle U20
12 1.18
Odd 2.078
Hiyo hata mm ilishaga tokea hata kwangu. uzuri huwaga napitia matokeo yote ya mechi nikawabamba.Jamani kunakitu leo nimeshuhudia mkeka bet ambacho sikuwahi tegemea kama kuna wizi na ulaghai kama huu unaweza tokea, labda sikuwa ugundua mapema kutokana na stress na vipigo vya mara kwa mara
Sasa leo nilikuwa nimebet timu moja over 2.5 goals lakini mwisho wa siku kuangalia mkeka nikakuta bet lost, lakini nikawa na mashaka ikabidi ni google kwenye website hizi nyingine nikakuta mechi imeisha 3-0 ikabidi niwapigie after kutoa detail wakadhibitisha kwel nime win,
Sasa nilikuwa nataka kutoa angalizo kuwa tuweni makini sana kwani kanji anatumia kila mbinu kutufirisi hadi ku fake matokeo
Picha nimeweka hapo juu mnaweza nanyi mkagoogle muone ukweli wa ninacho kisema
''Umm-Salal SC v Sadd SC ebu tazameni head to head ya hawa jamaa cjui kanji kakosea kutoa Odds maana kampa away Odd 7 kwa direct win wakati head to head home huwa anakufa akipona ni sare tu
hahahaahahaha nimeielewa. SASA IFIKIE MAHALI KAMPUNI WASEME INATOSHAAAAAA KUSAJILI MPYA MAANA SI KWA UTITIRI HUUU!
jaribu kumchunguzaVipi kuhusu hawa Italian bet ni wa kuaminiwa mkuu...!?
Una deposit VP hukuView attachment 626172
hahahaahahaha nimeielewa. SASA IFIKIE MAHALI KAMPUNI WASEME INATOSHAAAAAA KUSAJILI MPYA MAANA SI KWA UTITIRI HUUU!
naomba kuuliza yafuatayo kutoa pesa inachukua muda gani?
sijajua ndio bado naipekuapekuaUna deposit VP huku
safi sana siku hizi ni kupindua matokea tu
Mi mwenyewe nlpekua mno cjakundua naona withdraw tusijajua ndio bado naipekuapekua
Kumbe tupo weng, tulioshindwa kudeposit.Mi mwenyewe nlpekua mno cjakundua naona withdraw tu
hata withdraw method nimeona ni tigopesa tu wanahitaj kurekebisha hilo.Kumbe tupo weng, tulioshindwa kudeposit.