Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefika page ya 1000 ya uzi huu! 🙂
Niliukuta 250 leo tumepelekana hadi 1000 dah kweli tumefanya kazi kubwa sana
inamaanisha nini hiyo...ufafanuziGoals in both halves ndio kamari ya uhakika.. Leo wote wametoa
leo ni hivi hizi mechi magoli yafungwe kuanzia dakika ya 28.....
west brom 28+
wigan 28+
espanyol 28+
newcastle 28+
westham 28+
besiktas 28+
odds 73
imekaa poa sana hii yako
kwa chelsea nitawapa 1&3+
View attachment 226043
fanya kama umepoteza 5000 chumbani ...
1&3+ inamaanisha nini hapo
Tumefika page ya 1000 ya uzi huu! 🙂
inamaanisha nini hiyo...ufafanuzi
kweli ndugu, uzi unaenda vizuri... Baharia vp ile option yako ya 0-10 no goal bado ipo na huwa unaicheza??
Goal in both halves inamaanisha kipindi cha kwanza lipatikane goli na kipindi cha pili pia.Bila kujali timu ipi imeshinda..
Niliukuta 250 leo tumepelekana hadi 1000 dah kweli tumefanya kazi kubwa sana
Bado ipo c.e.o ni wewe tuu na hela yako. lakini kusema ule ukweli hakuna mchezo rahisi we jaribu bahati yako.
sijui kama meridian washaiwek hyo option. Mi sikuhiz nadili na 2nd half 2+ kidogo inanilipa ods zake huwa ni 1.80 hadi 2
Huwa unaweka mechi ngapi kwa stake gani?