ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
mwambie aweke hata mikeke2 aliyomkalisha mhindi tuone.beting ni bahati hakuna serius hpa.ss ww endelea kuweka kubwa zkoteh teh teh, haya wewe ulie serious endelea kumkalisha
mwambie aweke hata mikeke2 aliyomkalisha mhindi tuone.beting ni bahati hakuna serius hpa.ss ww endelea kuweka kubwa zkoteh teh teh, haya wewe ulie serious endelea kumkalisha
hao jamaa mi kwny password ndo shida.Hapo ni kuwafata south Sudan na goli tatu mkononi ili kua safe.
Afu tanzania nae unamfata na goli mbili mkononi.
Lazio nae unafata na goli moja.
Approximately hapo utakua na Odd 3 na point kadhaa.
Kisha unatia mpunga mrefu kiasi kuanzia buku 10 na kuendelea.
anachoshindwa kuelewa ni kuwa anachokifanya mwenzie nilishapitia nikaona usenge. ukijifanya uko serious sana unaweza pata uchizi bure.mwambie aweke hata mikeke2 aliyomkalisha mhindi tuone.beting ni bahati hakuna serius hpa.ss ww endelea kuweka kubwa zko
Hamia princess bet jombahao jamaa mi kwny password ndo shida.
Ni mjinga wa aina gani atadhamini TZ hii kwny mkeka.Haya Tanzania inakipiga leo[emoji23][emoji23][emoji23] hela ya bure hiiView attachment 648486
Single bet itapendeza zaidi
www.mcheza.co.tz
hao jamaa mi kwny password ndo shida.
Sio wewe peke yako!Nikikumbuka mapacha wawili ROMA na NAPOLI machozi yananilenga
usiingie kichwa kichwa. Unaweza kupigwa wewe za uso.Kudadadeki leo muhindi wa princess bet kajichanganya au Yuki serious.
Hii mechi ya
khor vs Lekwiya
Iko wazi kabisa Lekwiya (Duhail) anashinda Bila chenga afu anampa odd 2 zote.
Duh, Kudadadeki lazima nimpe za Uso.
Shwaini kabisa
Sio wewe peke yako!
View attachment 648530
Kudadadeki leo muhindi wa princess bet kajichanganya au Yuki serious.
Hii mechi ya
khor vs Lekwiya
Iko wazi kabisa Lekwiya (Duhail) anashinda Bila chenga afu anampa odd 2 zote.
Duh, Kudadadeki lazima nimpe za Uso.
Shwaini kabisa
princess natumia mkuuHamia princess bet jomba