yah but si mbaya nilibakiwa na odd kama tatu hiviNaona una void za kutosha
Leipzig anafungwaLeipzig, atalanta washakalishwa tayari
Naona una void za kutosha
mpira dkk 90 mkuuUpdate....
Wolfsburg 1:0 RB Liepzg
Takwimu hazidanganyi.
Tokea jana nasema humu kua msimu huu BUNDESLIGA timu nyingi zikiwa zinacheza HOME kuzifunga ni kazi kweli kweli.
Haijalishi timu Iko nafasi ya ngapi kwny msimamo.
Tizama takwimu hapa chini.
View attachment 649561
Link nishakuwekea mpwaaaYes cc pididy usinyamaze mkuu tuungane tummalize kanji..........
Nilitaka kushangaa wanaume wanaendaje NG dakika ya 60 1-1Nac breda atoe GG mara zote anatoa leo nimemcheza half time 0-0
THIS IS FOOTBALL, ANY THING CAN HAPPEN......View attachment 649562maamuzi magum nataka kufanya uxauri plz