Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2017-12-12_17-8-6.png
jero si kitu ngoja nimjaribu. mbona tunaonga zaidi ya hizi
 
teh teh teh bado sijapata mtoto aiseeh
Shikilia tu.

Huo ni uchawi tosha kabisa.
Unatumika world wide.

Nmeitumia J. Mosi
R. Madrid vs sevila nlibet under 5.5 goals full time.

Dakika ya 40, R.Madrid anaongoza 5:0

Nmekamatilia mpk Dkk ya 90 hakijaingia kitu.
 
Back
Top Bottom