Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 650019wakuu hii option ipo meridian n nzurii .......naomben ushauri wenu cc pididy,jaquem,deeppond,mQ na wengineo.......
Hapo wanaweza kufumuana First half tu goli tatu au nne....au wasifungane kabisa...na bet ikawa lost mapema kabisa...
Ushauri bora kutafuta option inayoendana na hiyo
Mfano ni hii First half over 0.5 goal ipo mkeka bet...
Halafu unatafuta league za magoli
 
Screenshot_2017-12-13-13-40-46.png
 
100% SURE FWATA KAMA ZILIVYO
MSHUKURU MUNGU BAADAE WEKA IMANI
Screenshot_20171213-134734.png
Screenshot_20171213-134724.png
 
Nijibu mkuu
Godzilla naona unaulizia apps sana labda unaweza kuta kitu kipya lakini apps zote za matokeo ya mpira na stats zote karibia sawa na wanatoa info zilezile.kuziona info na kuzichambua info kama deeppond ni vitu viwili tofauti unaweza mkawa mna source moja ya info lakini kila mtu anaona kivyake.
Mi nakushauri usihangaike na mapps sababu zote wanatoa statistic zile zile uchambuzi wako ndio unaomatter.
Jamaa anatusave sana na uchambuzi wake murua ambao mimi japo ninazijua apps kibao lakini siwezi chambua kama yeye.
 
Follow this link to join my WhatsApp group: FREE SURE TIPS LOADING.

Ingiaaa humo tuokoteze
Daily 2 to 3 odds

3.88

Booking Number: 66LRKSJ

13/12/201711:48:11

1279 Manchester Utd - Bournemouth

1X21

13 December 2017 21:00

Prematch

1281 Liverpool - West Brom

1X21

13 December 2017 21:00

Prematch

1282 Tottenham - Brighton

1X21

13 December 2017 21:00

Prematch

1278 Swansea - Manchester City

1X22

13 December 2017 20:45

Prematch

5402 Strasbourg - PSG

1X22

13 December 2017 21:05

Prematch

1699 Celtic - Hamilton Academical

1X21

13 December 2017 20:45

Prematch

************* [HASHTAG]#MUKAMAMULUNJI[/HASHTAG] """""""""""" $
Over market

23 odds

Booking Number: 66LT2MT

13/12/201711:55:46

1543 ACS Poli Timisoara - Dinamo Bucuresti

Over/Under 1.5Over

************* [HASHTAG]#MUKAMAMULUNJITIPS[/HASHTAG] *******************

18 December 2017 19:00

Prematch

6978 St. Pauli - Bochum

Over/Under 1.5Over

18 December 2017 20:30

Prematch

1117 Levadiakos - Panionios

Over/Under 1.5Over

18 December 2017 18:30

Prematch

1524 KS Gornik Zabrze - KS Cracovia

Over/Under 1.5Over

18 December 2017 18:00

Prematch

2073 Goztepespor - Atiker Konyaspor 1922

Over/Under 2.5Over

18 December 2017 18:00

Prematch

2074 Fenerbahce - Kardemir Karabukspor

Over/Under 2.5Over

18 December 2017 18:00

Prematch

1019 Moreirense FC - Vitoria Guimaraes

Over/Under 1.5Over

18 December 2017 20:00

Prematch

1553 FC Porto - CS Maritimo Madeira

Over/Under 2.5Over

18 December 2017 22:00

Prematch

5352 Adanaspor - Istanbulspor

Over/Under 1.5Over

18 December 2017 16:00

Prematch
 
MAN UTD VS BOURNAMOUTH

Msisahau kubet Over 9.5 corners full time. Odd 1.53

Kwann nasema hivo:
Man utd wanatumia sn winga kupata matokeo KWA kupiga cross.

Man utd ndiyo timu inayoongoza ligi kuu EPL kwny msimamo wa TEAM with most Crosses.

Pia ni timu inayoongoza kwny msimamo wa Over 4.5 corners 1st half kwny EPL.

Ushauri:
Unawz kubet over 9.5 corners full time. odd 1.53

Au ukabet over 4.5 1st half. Odd 1.73

Kwa waoga, inaweza kubet over 8.5 corners full time 1.32 odds. UHAKIKA.

[HASHTAG]#Mapambano[/HASHTAG] yanaemdelea#
 
Hii kwa wale wazee wa mikeka inatuhusu sana. Najua suala ubashiri wa michezo imeshika kasi sana kwa vijana na wazee hapa nchini.

Betting inachangamoto nyingi sana na tunapoteza sana kile kidogo tulichonacho kila siku tuna mnemeesha mhindi na bado hatukomi kuwekeza huko!. Tumekuwa kila tukiliwa tunakuja na option mpya lakini bado zote hazifui dafu kwa mhindi...kunyolewa kunakuwa pale pale!... Sasa Leo nakuja na MBINU mpya wazee wa kubeti naomba mlizingatie hili.

VIRTURAL FOOTBALL GAMES
Najua hili neno siyo neno geni masikioni mwetu wazee wa mkeka!

Huu ni michezo unaochezwa kila baada ya sec 90, una vipindi 38(michezo) mzunguko wa michezo 38 hukamilika kila baada ya Saa 1! Na michezo hii hudumu kwa saa 24/7 hivyo inakuwezesha kucheza kadili uwezavyo ni wewe tu hata ukitaka ukeshe ukicheza.

STRATEGIES
Virtural haina utofauti na Forex, inaformula zake huwezi kubashili kama unavyofanya kwenye real football, ukibashili kama real football utanyolewa hadi utakimbia maana kibonde kuifunga strongest team ni kitu cha kawaida kabisa!

Sasa iko hivi; virtual ina option zoote kama uonavyo kwenye real football betting, ila Leo nitaweka MBINU mbili tu za kukufanya uondoke na faida nzuri tu kila siku!

1. NORMAL DRAW BETTING

Kwanza inakupasa ujue VFL kila team inapokamilisha mzunguko wa michezo ( yaani baada ya mech38) hamna team inayomaliza na DRAW 15! Nyingi zinaishia na 7,8,10,11,12 hadi 5.

Natoa MBINU hii ya DRAW, sababu ndiyo option ya kawaida yenye Odds yingi na hazibadiliki MF. 3.00, 4.00 hadi 5.00.

Soo unachotakiwa kujua ni kwamba kila baada ya kipindi cha 6(kule wanaita week) lazima zitoke draw nyingi. Yaani mfano week 1 - 6, draw zinatoka
Week 12 _ draw zinatoka
Week 17 - Draw zinatoka
Week 23- Draw zinatoka
Week 30 _ Draw zinatoka!

Sasa ambacho unatakiwa kufanya ni kwenda pale kwenye msimamo wa ligi(haina utofauti na real futbal, mechi ni zile zile, majina ni Yale Yale). Baada ya hapo chunguza team ambayo haijatoa draw nyingi! Mfano team IPO ktk michezo wa 9 na inadraw 0 au 1 hiyo inafaa sana nenda nayo!

Baada ya hapo nenda kwenye ubashili Bofya DRAW weka kiasi chako tsh 2000 .subiri majibu baada ya sec 90!

Ikitokea lost game , rudia tena Tim ile ile ya mwanzo(usibadilishe Tim ).

Term hii weka 2000x2 yaani tsh 4000! Subiri sec zako 90!

Ikitokea Game lost usiache! Rudia ile ile Tim usiiache ukaibet nyingine ing'ang'anie sababu hakuna team inayomaliza vipndi 6 bila kutoa sare NEVER!!

Term hii weka tsh 4000x2= 8000. Tulia subiri sec zako 90!

Ikitokea Game lost usikate tamaa Fanya vile vile kama mwanzo .

Term hii weka 8000x2= 16000. Subiri sec zako 90!

WOON WOON BET WOON!!

TSH 16000 X 4. ODDS = ???
= tsh 64000-16000= 48000!!

Relax! 48k ndiyo faida yako ndani ya hizo dakika kadhaa! PUMZIKA subiria season 2 inayokuja baada ya Saa1.!!!

Kwa Leo ni hayo tu MBINU YINGINE NITAITOA BAADAE KUNAPO MAJAALIWA.

NB: Zingatia kutobadilisha Tim pindi unapoibet hadi pale itakapo toa Draw! Pia zingatia sehem isiyo na kelele wala bugudha, hiyo inakufanya kuwa na umakini zaidi.
 
[emoji299][emoji299]SOCCER SINGLE 2
[emoji161][emoji161]Booking Number: 66LJDX6

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Serbia

6912 Superliga
FK Borac Cacak - FK Mladost Lucani
X2 & Under(4.5) 2.00
RESET 100 ₦ 500 ₦ 1000 ₦ 2500 ₦ Single
Odd 2.00
Amount ₦
Bonus 0.00 ₦
Potential winning
 
Tuko pamoja.

Uakmsahau na everton kule EPL.

Muhindi amempa odd 3.73 dhidi ya Newcastle anaesua sua.

Kwa tahadhali mpe goli 2 kibindoni.

Nnachoamini kwa jinsi everton alivorudi form, Hyo game Anaeweza kushinda au hata sare.

Hata Newcastle akishinda haiwezi kua ni zaid ya goal difference 2 dhidi ya Everton.

Hata Leicester akipigwa kwa diff ya goli 1 bado umekula.
Sawa sawa mkuu ngoja nayo niijumuishe
 
Back
Top Bottom