Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man utd na Leicester naona walishanipa nlichokitaka.

Wote washapata over 4.5 corners hata dkk 30 haijaisha.

Leicester nlimbeba na goli 2. Sahv keshatia 3:0

Naomba game ya Everton isitoe red card

Afu fayenood ashinde full time.

Eeh mungu Okoa hili jahazi.
 
Acha kbs Chief ...Montpelier leo tyr wana 2-1 hata half time bado wkt huwa ni mgumu sn kuruhusu/kufunga goli nyng ...na nimempa Under 3.5 ...

Sioni dalili za kulala na hela leo !
Yan nliona hii yo game
Nkaikimbia hata 2+ nkaogopa
kuwapa nkakimbilia kwa waingereza
Ndo hao naona wakinifanya vbaya
Yan cna hata ham kabsa

Af France na Scotland leo
Wote 2+ za kutosha wametoa
 
Yan siamin kama Liverpool
Wanashindwa kutoa 2+
Pamoja Na vi odds vyake 1.16
Nachanganyikiwa jmn
 
Half time update...
 
UPDATE WAKUU, Hii game ya Leicester Na soton ishatoa kona 11 mpk kufkia half time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…