Aiseee yan dhaaaaOver 3.5 ... daaah !
Tena wakala mkuu kabisaliver leo wakala
Kuna mkeka niliweka saa mbili saa nne unachanwa na wakina Venlo na UtrechtAiseee yan dhaaaa
Chaa jab nmejibebea mitim
Ya kingese hata 2+ inawashinda
Watu kama levakuzen humbwa kabsa
daah yaani unapishana na hela unaiona...Bayern kaninyima 100k kirahisi tu.Aiseee yan dhaaaa
Chaa jab nmejibebea mitim
Ya kingese hata 2+ inawashinda
Watu kama levakuzen humbwa kabsa
yani huu mchezo inabid kwenda nao hivo hivo kimasihara kama unavotaka. ukiupanikia unaweza pata kichaa bure. tangu tim moja ya jamuhuri ya cheki. inaitwa ural isepe na mil7 hivi hiv dakk ya 87. nikasema hakika huu mchezo sito kuwa nao serious tena.Kuna mkeka niliweka saa mbili saa nne unachanwa na wakina Venlo na Utrecht
Nikatupia mwngne saa nne humo kuna Liver 3+ , Blackburn 3+ , Feyernood 3+ wote hawa wanachana...
hata mimi sijawaelewa mkuu coz kuna gemu live ya kikapu nilijilipua nataka kucheki naona history haifungukiprincess wameanza usenge
Aise muindii mchawii red dk 94Hali ni tete sana.
Tumwombe mungu Everton wasitoe red na arsenal washinde.
At least hali inaweza kua shwari.
Maana Leicester Na Man u washanipa kona za kutosha tayar 1st half.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aise muindii mchawii red dk 94
JoJo utadhanii ame bet yanii unnecessary foul dk ya mwisho manina walahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dhaaaaaaaa nmejikuta nacheka tu
Aiseee utadhan mazur
Kweli mapilipili n mchawiJoJo utadhanii ame bet yanii unnecessary foul dk ya mwisho manina walahi