Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh, pole sana...
Mm ni zile odd 2.22 nlzotengeneza ndizo zmenitoa.

Nlitia Tsh 48,000, ikatoka Tsh 106,500

Natamani ningekua nmetia laki 5. Ningekua nachekelea milioni sahv
 
Angalau umepata mtaji.

hali ilkua tete sn kwny game za leo.

Muhindi kapekuliwa kila kona, msako ulkua hot sana leo.

Presha ulkua juu sana.
 
Over 3.5 ... daaah !


3dfbaf106daf94dd89669ef8ba7f97d9.jpg
Inaitwa majuto MJUKUU
 
Mmoja tayarii

M nimeugawa mpwaaa .mitano ya chini
Mitano ya juuu..ngoja nisikilizie
Hii inaitwa show ya kibabe.
Inahitaj sana moyo kumpiga muhindi hasa hasa siku zenye mechi nyingi.
 
Wakuu, don't mess up with this golden odds.

Odd 2.43
Instanbulspor win dhidi ya Karakabur

Bahati haiji mara 2
 
Back
Top Bottom