Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

AL HAMIS
Ni siku ya pesa sana kwny maisha yangu ya betting.

Hasa nnapotembea na waarabu kwny mikeka

Odd 2.2

Nna Shida sana na Laki kesho asbuhi.

****fuata nyuki ule asali***
 
Makavelee tips waliziona a aka cholla vision
Mashallah
Screenshot_20171214-011916.png
Screenshot_20171214-011906.png
Screenshot_20171214-011841.png
 
MKEKA WA PESA HUO

Odds 2.2

Nmetia buku 46, Marejesho Laki 1

Kwa mwny uwezo anaweza kutia stake Kubwa zaidi.

PIGA UA GARAGAZA, HAPA MUHINDI HATOKI.

"AL MAALUM KWA WALIOKATA TAMAA"
upload_2017-12-13_15-13-18.png
 
AL HAMIS
Ni siku ya pesa sana kwny maisha yangu ya betting.

Hasa nnapotembea na waarabu kwny mikeka

Odd 2.2

Nna Shida sana na Laki kesho asbuhi.

****fuata nyuki ule asali***
Sawa mkubwa nataka ninywe supu asubui ya kesho na ikifika mchana nichome mbuzi kilo nitaisindikiza na kama kilo hivi moja ya ugali wa sembe, feyenood kanisababisha nisile vizuri
 
Hii kwa wale wazee wa mikeka inatuhusu sana. Najua suala ubashiri wa michezo imeshika kasi sana kwa vijana na wazee hapa nchini.

Betting inachangamoto nyingi sana na tunapoteza sana kile kidogo tulichonacho kila siku tuna mnemeesha mhindi na bado hatukomi kuwekeza huko!. Tumekuwa kila tukiliwa tunakuja na option mpya lakini bado zote hazifui dafu kwa mhindi...kunyolewa kunakuwa pale pale!... Sasa Leo nakuja na MBINU mpya wazee wa kubeti naomba mlizingatie hili.

VIRTURAL FOOTBALL GAMES
Najua hili neno siyo neno geni masikioni mwetu wazee wa mkeka!

Huu ni michezo unaochezwa kila baada ya sec 90, una vipindi 38(michezo) mzunguko wa michezo 38 hukamilika kila baada ya Saa 1! Na michezo hii hudumu kwa saa 24/7 hivyo inakuwezesha kucheza kadili uwezavyo ni wewe tu hata ukitaka ukeshe ukicheza.

STRATEGIES
Virtural haina utofauti na Forex, inaformula zake huwezi kubashili kama unavyofanya kwenye real football, ukibashili kama real football utanyolewa hadi utakimbia maana kibonde kuifunga strongest team ni kitu cha kawaida kabisa!

Sasa iko hivi; virtual ina option zoote kama uonavyo kwenye real football betting, ila Leo nitaweka MBINU mbili tu za kukufanya uondoke na faida nzuri tu kila siku!

1. NORMAL DRAW BETTING

Kwanza inakupasa ujue VFL kila team inapokamilisha mzunguko wa michezo ( yaani baada ya mech38) hamna team inayomaliza na DRAW 15! Nyingi zinaishia na 7,8,10,11,12 hadi 5.

Natoa MBINU hii ya DRAW, sababu ndiyo option ya kawaida yenye Odds yingi na hazibadiliki MF. 3.00, 4.00 hadi 5.00.

Soo unachotakiwa kujua ni kwamba kila baada ya kipindi cha 6(kule wanaita week) lazima zitoke draw nyingi. Yaani mfano week 1 - 6, draw zinatoka
Week 12 _ draw zinatoka
Week 17 - Draw zinatoka
Week 23- Draw zinatoka
Week 30 _ Draw zinatoka!

Sasa ambacho unatakiwa kufanya ni kwenda pale kwenye msimamo wa ligi(haina utofauti na real futbal, mechi ni zile zile, majina ni Yale Yale). Baada ya hapo chunguza team ambayo haijatoa draw nyingi! Mfano team IPO ktk michezo wa 9 na inadraw 0 au 1 hiyo inafaa sana nenda nayo!

Baada ya hapo nenda kwenye ubashili Bofya DRAW weka kiasi chako tsh 2000 .subiri majibu baada ya sec 90!

Ikitokea lost game , rudia tena Tim ile ile ya mwanzo(usibadilishe Tim ).

Term hii weka 2000x2 yaani tsh 4000! Subiri sec zako 90!

Ikitokea Game lost usiache! Rudia ile ile Tim usiiache ukaibet nyingine ing'ang'anie sababu hakuna team inayomaliza vipndi 6 bila kutoa sare NEVER!!

Term hii weka tsh 4000x2= 8000. Tulia subiri sec zako 90!

Ikitokea Game lost usikate tamaa Fanya vile vile kama mwanzo .

Term hii weka 8000x2= 16000. Subiri sec zako 90!

WOON WOON BET WOON!!

TSH 16000 X 4. ODDS = ???
= tsh 64000-16000= 48000!!

Relax! 48k ndiyo faida yako ndani ya hizo dakika kadhaa! PUMZIKA subiria season 2 inayokuja baada ya Saa1.!!!

Kwa Leo ni hayo tu MBINU YINGINE NITAITOA BAADAE KUNAPO MAJAALIWA.

NB: Zingatia kutobadilisha Tim pindi unapoibet hadi pale itakapo toa Draw! Pia zingatia sehem isiyo na kelele wala bugudha, hiyo inakufanya kuwa na umakini zaidi.
Mb Zinatumika nyingi kuiangalia mechi
 
MKUU GODZILA WATU WANAKUTISHA NA HIZIPRED ...KUSHINDA BET N IMANI NA NYOTAYAKO....HIZI NILIZIWEKA PIA JANA 4MNAMSHUKURUMUNGU KABLA SIJAENDA POPOTE LAZIMA NIBET MIKEKA MIWILI YAHUYIBWANA NISONGE MBELE......
KARIBU MREJESHO WALIOOONA KILA LAKHERI
Screenshot_20171214-105512.png
Screenshot_20171214-105503.png
 
AL MAALUM KWA MLIOKATA TAMAA.

mkeka wa pesa huu hapa chini.

Odds 2.2

Stake: 46,000 Tsh
Returns: 106,000 Tsh.

Ukiweza kuweka stake kubwa, ITAPENDEZA ZAIDI.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ha ha ha ha........

Kwa mbaaaaaali,

NAMUONA KANJI AKIUTIZAMA HUU MKEKA, HUKU MACHOZI YAKIMLENGA LENGA MACHONI.
**fuata nyuki, ule asali****
2017-12-14-10-15-23.jpg
 
Duh, leo sijui khanji anamakusudi huu mkeka nisiupost.

Yaan kila nkitaka kuupost vikwazo kibao.

Mara ya nkianza ku uploadd cm inaniponyoka inadondoka chini.

Mara nmekosea kuattach image, nmeattach image ya mkeka ambao sio wenyewe

Mara nmepatia kuattach mkeka wenyewe, ila umecrash haionekani

YAANI NI FULL VIKWAZO.
 
Back
Top Bottom