Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
F*** hawa waKorea wanazingua, Quarter nzima unacheza vikapu 6 tu?!!! ... seriously?!!!!
Waeke under sasa uone vikapu vinavoingiaF*** hawa waKorea wanazingua, Quarter nzima unacheza vikapu 6 tu?!!! ... seriously?!!!!
View attachment 650905
aisee mbona sikuiona jana hiiFRANCE Coupe de la Ligue
Lille - Nice
TIPS: X
ODD: 3.10
✅❤️✔️✔️✅✔️❤️✔️✅❤️✔️✅❤️✅✔️✅
SPAIN Tercera Division
CD Aurrera de Vitoria - Sodupe UC
TIPS: X
ODD: 3.60
✅❤️❤️❤️✔️✅❤️✅✅❤️✔️✅❤️✔️✅
SERBIA Superliga
FK Spartak Subotica - FK Vojvodina
TIPS: X
ODD: 3.50
✅✔️❤️✔️✅❤️✔️✅❤️✅❤️✔️✅❤️✔️✅❤️✔️✅❤️
ENGLAND premiere League
West Ham United - Arsenal
TIPS: X
ODD: 3.60
✅❤️✔️✅❤️✔️❤️✔️❤️✔️✅❤️
Duh...FRANCE Coupe de la Ligue
Lille - Nice
TIPS: X
ODD: 3.10
[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji818]️[emoji736][emoji818]️[emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji736][emoji818]️[emoji736]
SPAIN Tercera Division
CD Aurrera de Vitoria - Sodupe UC
TIPS: X
ODD: 3.60
[emoji736][emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji736][emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736]
SERBIA Superliga
FK Spartak Subotica - FK Vojvodina
TIPS: X
ODD: 3.50
[emoji736][emoji818]️[emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️
ENGLAND premiere League
West Ham United - Arsenal
TIPS: X
ODD: 3.60
[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️[emoji818]️[emoji173]️[emoji818]️[emoji173]️[emoji818]️[emoji736][emoji173]️
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wakuu Mpo Nazidi kusikilizia Ukali wa pilipili kichaa walinichanganyia kwenye chakula wiki nzima ulimi uko nje.
Ubarikiwe sana.Wakuu kwema? Nafurahi kuona umoja mnaouonesha..niwatie moyo kwamba hamko peke yenu...wengi wanachungulia humu kuliko mnavyodhani..
Na baadhi wanapiga PESA Kwa kudesa mikeka humu..hii biashara ni kongwe..wengi wanabeti ila huwezi kuamini..tena wengine huwezi kudhania..si unajua imerahisishwa ni kuwa na simu yako unabet online..! Msife moyo iko siku mtapiga PESA ndefu na kutimiza ndoto zenu..pamoja sana.!
Pamoja sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tupo mkuu, Mapambano yanaendelea.
No retreat, No surrender
Waeke under sasa uone vikapu vinavoingia
Virtual games ni kama mashine ya kuchezesha korokoro.wadau hivi hii vitual games princess bet ina mana gani
Hamia kwa waarabu, hakika hutojuta mkuu.Noma sn ... hebu ngoja nitulie leo nirudi kesho kwny Eerste Divisie tu, nishaona kuna dalili ya kupigwa leo.
Virtual games ni kama mashine ya kuchezesha korokoro.
Timu zote mbili znachezeshwa mechi na komputa automatatic.
Wee unaebet unakua mtizamaji tu mpk full time.
Afu unacheck kwny mkeka wako km ulichokibet kimeendana na matokeo ya mechi.
Hii kitu ngumu sana aisee, nliicheza sn kipindi cha mwanzo mwanzo ndo naingia kwny betting.
Nlikua nakula za Uso mpk nikastop betting for 1 yr.
Nlpokuja kugundua uhuni unaofanyika, nkapiga chini mazima upande wa virtual.
WAHINDI WAMETAJIRIKA SANA NA HUU UHUNI WANAOUFANYA KWNY VIRTUAL BETTING.
Duh, hapo nmekupata.Mkuuuu hapooo n kuchambuaaa nimeonaaa nbox watuwanaomba niweke baadhi sehemu moja inabidniandane naoompwa
Hamia kwa waarabu, hakika hutojuta mkuu.
Nshatupia mikeka 3 tayari mkuu.nasubiri mkuu
Sometimes ni maamuzi mazuri km upepo hauendi vizurAsante Chief, ila hapana ... wacha tu nipumzike leo.
Huu nimeuelewa kaka ila hapo Stuttgart hawawezi haribu kazi hapo, nataka niuchukue mzima mzima huu hadi stake naweka iyo iyoKWA WALE WAPENZI WA KUWABET KWA WAZEE WA JIHADI.
MKEKA WA PESA HUO HAPO CHINI
Odd 2.67
Stake: Tsh 20,000
Marejesho: Tsh 53,400
Niko kikazi zaidi, kesho nna shida na hela ya Bia.
Nna ugeni wa mkwe wangu.
***fuata nyuki, ule asali**
View attachment 650883