Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*BettingOdds: All Major Games Tonight⚽20171214*

Here are the betting odds for all the major games tonight:

International Friendly
Qatar (2/9) Draw (59/10) Liechtenstein (14/1)

Coppa Italia
Lazio (2/7) Draw (28/5) Cittadella (11/1)

Eredevisie
Heracles Almelo (23/17) Draw (25/9) Sparta Rotterdam (33/16)

Portuguese Cup
Porto (3/13) Draw (29/5) Guimaraes (14/1)

CECAFA Cup
Kenya (2.63) Draw (1.91) Burundi (4.50)

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +18169088895*

Type QW0 to like this
 
6c6b847edce00588c0e57c0346037b35.jpg

Mwenye matokeo ya mechi ya hawa madogo wa under 20 naomba tafadhali

Na je,naweza nikaturbo kama mechi itakuwa imehairishwa?

Matokeo sina, lkn kuhusu swali la pili jibu ni NDIO.
As long as timu zaidi ya 3 zimeshakupa win kwenye mkeka (km navyoona hapo kwny mkeka wako) na hakuna game inayocheza muda huo, then unaweza ukaTURBO payout.
 
Ngoja niskilizie gemu ya mwisho iishe,nijaribu kuturbo,maana nahisi gemu ya hawa under 20 haijachezwa..
 
*THURSDAY VIBES*

66SKCRY

2 odd

Code 8509 Date 14/12/2017 21:00
Event Lazio - Cittadella
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over

Code 7975 Date 14/12/2017 20:45
Event Ajax Amsterdam - SBV Excelsior
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over

Code 1096 Date 14/12/2017 21:15
Event FC Porto - Vitoria Guimaraes
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over

[HASHTAG]#Believe[/HASHTAG]
Mkuu huo Uzi umetulia.
Ila nna wasiwasi kwa Porto, inawezkana over 2.5 istoke mana Vitoria ameimarika sn msimu huu.

Na ameruhusu goli chache hasa kuanzia 1st half ambapo kumfunga inakuaga mbinde sana.

S. Lisbon na Benefica wamestruggle sn kupata matokeo Na Vitoria.

Hili ni kombe na naamini atakaza kuliko kawaida.

Watu Wengi jana hawakuamini, ila dkk 90 zilishuhudia Rio Ave alivokua ameikazia ile game. Na dkk 120 zkashuhudia Rio ave anatusua kwa kushinda 3:2 dhidi ya benefica.
 
Jana nilikuwa na mikeka mitatu Arsenal na Liverpool tu ndo wamekuwa wachawi ilikuwa inatoa kama 500k [emoji24][emoji24]
 
Mkuu Virtual Games iliwahi kunishangaza sitajaribu tena huko ... labda kuna wengine wana bahati nayo. Ila mm siwezi kugusa tena huko ...

... si unaona km hapa, unaweza kuhisi ukiweka 2+ ni automatic unashinda, unashangaa 1-0 au 0-0 ... halafu uliweka 100K

View attachment 651006
PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.

Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.

Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.

Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.

Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.

Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.

Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.

Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.

At the end, inashinda na unakula hela.

Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.

Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.

Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa

Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.

Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room

Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
 
Virtual games ni kama mashine ya kuchezesha korokoro.

Timu zote mbili znachezeshwa mechi na komputa automatatic.

Wee unaebet unakua mtizamaji tu mpk full time.

Afu unacheck kwny mkeka wako km ulichokibet kimeendana na matokeo ya mechi.

Hii kitu ngumu sana aisee, nliicheza sn kipindi cha mwanzo mwanzo ndo naingia kwny betting.

Nlikua nakula za Uso mpk nikastop betting for 1 yr.

Nlpokuja kugundua uhuni unaofanyika, nkapiga chini mazima upande wa virtual.

WAHINDI WAMETAJIRIKA SANA NA HUU UHUNI WANAOUFANYA KWNY VIRTUAL BETTING.
poa sijawahi but nilikuwa naona tu hata sielew
 
poa sijawahi but nilikuwa naona tu hata sielew
PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.

Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.

Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.

Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.

Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.

Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.

Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.

Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.

At the end, inashinda na unakula hela.

Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.

Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.

Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa

Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.

Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room

Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
duh basi nahisi aina tofauti na keno bs
 
I see ...
 
Back
Top Bottom