Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2017-12-13_23-8-4.png
mkeka wangu wa mwisho huu leo odd 100+ but siku ya leo siisomi somi wala nn.
 
*FIVE STAR GENERALS*
*```66T63PL```*


*BRIGHT HENRY* ⚓
8509 Coppa Italia
Lazio - Cittadella
Yes 1.11

*MR KEN* ✍
2682 Saudi Professional League
Al Nasr Riyadh - AL Faisaly (Ksa)
1X 1.19

✈ *HIJO* ✈
1096 Taca de Portugal
FC Porto - Vitoria Guimaraes
1 1.19

*EMERSION*
5172 Premier League
Reno FC - Sandals South Coast FC
Home 1-3 1.19

*CHIDEXSTAN*
1097 Turkiye Kupasi
Basaksehir - Kahramanmarasspor
Over(2.5) 1.36


Odd *2.54*

*BSP CREW*
 
upload_2017-12-13_23-19-40.png
bila hawa
56 Konyaspor 0 - 0 Batman Petrolspor
waturuki mkeka wanguu huu ulikuwa ushakubali shenzi kabisa
 
[HASHTAG]#LEAVE[/HASHTAG] IT LOVE IT TIPS

☆ Holland Cup
☆ Heracles - Sparta Rotterdam
☆ Half-time / Full-time
☆ Draw / Heracles [ X/1 ]
☆ Time . 17:30 Pm Gmt
 
Wakuu, don't mess up with this golden odds.

Odd 2.43
Instanbulspor win dhidi ya Karakabur

Bahati haiji mara 2
HONGERENI SANA
Nyuki wote mlionifata kwny hii single bet.

Hakika leo asali tumeshaanza kulina mapema sana.

Instanburspor kashinda 1:0 FT


Leo ni vicheko mapema mapema
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
View attachment 650278
kulala bila cheque n mtihani kweli
nime pata odds 14 apaa
Leo wachina basket wamenimaliza mtaji wangu,kuna dili nimelikimbilia jioni limebuma basi hapa nina alosto navoona matips kibao.
PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.

Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.

Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.

Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.

Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.

Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.

Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.

Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.

At the end, inashinda na unakula hela.

Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.

Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.

Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa

Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.

Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room

Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
mkuu kuhus virtual ni hivi,ile program yao imekua programmed kua matokeo yanatoka kulingana na mlivobet ili kuleta maximum profit kwa kila game..kama timu A vs B alafu mpunga watu wengi mmebet timu A na hata waliobet timu B wakilipwa haitoathiri faida basi timu B itashinda,kama nako wataona watalipa pesa nyingi basi matokeo droo..kwahiyo kila mchezo utakaochezwa pale matokeo yake yapo kuleta faida ndio maana ukicheza stake kubwa huponi.
 
nina wazo wakuu tutafute kuanzia odds 200 na kuendelea ili siku tukipiga tunapiga mpunga wa kutosha huku kutafuta odd 2 nikupoteza muda
wenzio tunatafta odd ndogo lakini za uhakika. angalau kwa wiki una uwezo wa kumkalisha mara tano huku yeye kakukalisha mara 2 tu.

kutafta odds 100, 200 au 1000. me binafsi huwa naweka lakini sizizingatii sana wala nini huwa naweka jero au buku basi.

vinginevyo utaliwa daily.
 
Duh, huko nako misri kushaanza kuchafuka.

Misr el maqasa keshapigwa 4:1 dkk85
 
Back
Top Bottom