Betting ni hatari sana. Yaani kama game ya Westham ingeongezeka kona 1 tu wiki ningezeka nyumba na kuhamia kabisa
Pole sana.
Ila kona huwa zinatoka sana hasa over 8.5
Kona uwe mnambetia Man utd, Huddersfield, Leicester na soton wakiwa either home au away.
Wape over 9.5 full time au over 4.5 first half
Liverpool mpe kona nyingi akiwa Home. Over 8.5 inamfaa sana.
Tottenham mpe kona nyingi akiwa home na anacheza na timu isiyopiga sn possession.
Maana wakikutana na timu inayoposses sana huwa hawatanui na huvizia counter attach kupitia katkat ambapo hupunguza possibility ya kona nyingi. Over 8.5 corners full time
Arsenal, man city, west ham, Liverpool (akiwa away) HAWA hawa hawafai kabisa kubet corner mana wanapenda sana kukaa na mpira na hawatumii winga kushambulia kutokea pembeni.
Note: Timu znazofaa sana kubetia kona ni zile znazotumia mfumo wa 4-4-2 au 4-4-1
Hizi za 4-5-1 au 4-3-3 (possessive) sio nzuri kabisa kwa corners
Labda km ni 4-3-3 offensive anayoitumia sana Liverpool akiwa anacheza anfield.
Angalau ata 4-2-3-1 offensive inafaa kwa kona maana anaitumia sana R. Madrid akiwa Bernabeu.
NNA IMAN KUNA KITU UMEELEWA MKUU