Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ubarikiwe pia
upload_2017-12-13_23-51-6.png
odd 3+ hizi vipi nitatoboa kweli
 
Leo hela naona IPO.

sema inaonekana kuwepo sana mida ya usiku.

Huyu El maqasa keshaondoka na mkeka mchana kweupe kabisa.

HATUA SANA STAHIKI NI MUHIMU KUCHUKULIWA.
 
PALE KUNA MCHEZO MCHAFU HUWA UNAFANYIKA NA WAHINDI.

Hebu ngoja nkufahamishe.
Computer zote znazoshiriki huu mchezo zmeunganishwa kwny master control room moja.

Humo kwny master control room ndiko shughuri ya kufanya set up ya timu, fixturs na kuweka odds hufanyika.

Pia huwa wanaaccess na me hi husika inayoendelea.

Baada ya kudisplay odds, wadau huwa mnaanza kucheza.

Kama ni mara yako ya kwanza, unakaribishwa vizuri.

Yaan wakitaka ushinde, wanaiongezea performance level timu yako dhidi ya mpinzani wako.

Kama utakua unaangalia live, utaona timu ulochagua hata km kwny msimamo ni mbovu itakua ikipiga mpira mwingi sana.

At the end, inashinda na unakula hela.

Kama umewala sana na wanataka ukose.
Basi watatekenya kibatoni cha aggressive defensive kwa timu uliyoipa ushindi.

Utashangaa kuona mabeki wanapiga aggressive takle za hatari.

Mda si mrefu timu yako inakula kadi za kutosha na umeme (red card) na inapigiwa mpira mwingi na penati juu. Inafugwa

Mwisho wa siku unakutana na mwekundu (Bet lost) kwny mkeka wako.

Kumbuka:
hizo performance cheats mwny mashine anaweza kuziseti Bila hata kua ndani ya control room

Hata kwa kutumia smart fone kwa kutupia secrete cheat code kuhusiana na mechi husika na ukaliwa Huku umesimama nae wote unaangalia mechi.
ndio maana siku moja penalty zilifuruliza na pesa yangu ikasepa duh asante kwa taarifa
 
Kuna kipindi maamuzi magumu hulipa.
Odd 16.43

WAZEE wa kazi tunapita nao
2017-12-14-18-31-58.jpg
 
hapo ni goli tatu nakuendelea chini ya hapo umeliwa salio lako
 
Back
Top Bottom