Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

inabid tugeukie na option ya first team to score aisee
Hiyo nampaga Galatasaray, Alduhail, man city, Barcelona na Psg.
Timu nyingine ni pasua kichwa

Ludogoret nae Nlkuaga nampaga sana hyo sema skuhz sjui Kala maharagwe ya wapi.

Anaruhusu goli kijinga jinga sana.
 
naipendaga coz inakuaga na odd nzuri sana
 
Mcheza mna option nzuri lakini kwa hili la kuwithdraw to take up to 72hrs ndiyo mpunga usome kwenye tigo pesa. Kwaherini
kama hali iko hivyo watanisikia tu siwezi kukanyaga huko
 
Dah Nimepata ahueni kidogo hata nirudishe 1 ya 5000000 ya pesa ambazo kanji kanipiga.

Baada ya soka kuwa na utata leo nikaamua kuwatembelea Warusi kwenye Hockey nikachagua timu 7 na kuzipa Over 4.5 goal timu 6 zimetoa tayari na timu moja ina Magoli 4 nasubiri moja nipate hata kuvuta mtaji upya, Nasubiri tu Bao moja mhindi anipe kidogo changu ili usiku Niwatafute wa Marekani na Canada huwa wako vizuri kwenye Hockey.

Soka litaniua nitawekeza zaidi kwenye Hockey kwa sasa.
 
Siku hazifanani, No retreat
 
*MD*

*Booking Number:66STZ5G*
14/12/2017 13:16:58

Date 14/12/2017 21:00
*Lazio - Cittadella*

Selection 1

Date 14/12/2017 20:45
*Hereford Utd - Fleetwood Town*

Selection 2-5 Goals

Date 14/12/2017 18:30
*Heracles Almelo - Sparta Rotterdam*

Selection 3-6 Goals

Date 14/12/2017 20:45
*Ajax Amsterdam - SBV Excelsior*

Selection 3-6 Goals

Date 14/12/2017 18:00
*Basaksehir - Kahramanmarasspor*

Selection Over1.5

*4.32odds*
 
*MD*

*Booking Number:66SPN5Q*
14/12/2017 12:44:16

Date 14/12/2017 21:00
*Lazio - Cittadella*

Selection 1

Date 14/12/2017 20:45
*Ajax Amsterdam - SBV Excelsior*

Selection 12 HT

Date 14/12/2017 21:15
*FC Porto - Vitoria Guimaraes*

Selection 12 HT

*2.09odds*
 
Back
Top Bottom