Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahaha, usilale bila "cheque" mkuu ...

PS: Juz kati nilicheka sn, nlikutana na mdau anaita mikeka ile ya vikaratasi "cheque" ... ana msemo wake anasema kulala na buku kwenye wallet ni uzembe, bora ulale na cheque.
IMG_20171213_202523_063.JPG

kulala bila cheque n mtihani kweli
nime pata odds 14 apaa
 
odd 7 zenye chance kubwa kwa leo
 

Attachments

  • mkeka today.png
    mkeka today.png
    30.4 KB · Views: 39
Aljazeera 1st half win alikuwa na point 28 na kitu huo ujasiri sasa wa kumpa maana jina madrid tu linaogopesha
Mhindinyokooo mnapambana na 2-3 odds timu NNE kaweka moja tu yakuagana na siku
 
Huyu Lechia amekula maharage ya wapi? ... double chance nimempa lkn naona inaelekea kumshinda.

upload_2017-12-13_21-11-21.png
 
Mhindinyokooo mnapambana na 2-3 odds timu NNE kaweka moja tu yakuagana na siku
Anaondoka na mikeka mingi mno kwanza wengi walicheza 1st half over 1.5, 2/2 . Hebu fikiria aljazeera ndo umpe 1/1 unafunga mahesabu kabisa
 
Back
Top Bottom