Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Al-Jazira vs Real MadridKama ulimwamini Madrid basi umekwisha katupiwa 2 mpaka sasa
Score: 1 - 1
⚽ Goal!!
Real Madrid
Unaangaliawap
Al-Jazira vs Real MadridKama ulimwamini Madrid basi umekwisha katupiwa 2 mpaka sasa
Hapo Wisla asipokufa anadraw hiyo gamePesahioooooo
Correct scoreView attachment 650359
tehj teh teh ndo mana nasemaga huu mchezo ukijifanya uko serious sana unaweza pata kichaa bureee.Anaondoka na mikeka mingi mno kwanza wengi walicheza 1st half over 1.5, 2/2 . Hebu fikiria aljazeera ndo umpe 1/1 unafunga mahesabu kabisa
Mungu akubarikiMliofuata hapa hizo tatu za juu tayari zimeshatoa tuendee kuuombea mkeka huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] truetehj teh teh ndo mana nasemaga huu mchezo ukijifanya uko serious sana unaweza pata kichaa bureee.
ahahahahAljazeera 1st half win alikuwa na point 28 na kitu huo ujasiri sasa wa kumpa maana jina madrid tu linaogopesha
WashenziiiPdidy hao wa naija bhana naona na mkwara kauweka apo chin
et
please share to no one [emoji23] [emoji23]
Duh, hali tete ndugu yangu....tehj teh teh ndo mana nasemaga huu mchezo ukijifanya uko serious sana unaweza pata kichaa bureee.