Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimemkosa muhindi m.4 na ushee kisa vitim vinavyonichania mikeka daily

4095f7f698290b646b8dc68eac549336.jpg

8adf6acee17fc2e1d7dfe3e7d13b08bd.jpg
Duuuh pole sana mkuu natamani ningeugawa hata mara4
 
Nimemkosa muhindi m.4 na ushee kisa vitim vinavyonichania mikeka daily

4095f7f698290b646b8dc68eac549336.jpg

8adf6acee17fc2e1d7dfe3e7d13b08bd.jpg
Huu mkeka umeniuma kingesee, kaka uwe unapost kabla ya kuplace bet wadau wawe wanakusaidia lakini pia wengine nao wanabarikiwa kupitia kazi yako
 
Man utd na Leicester naona walishanipa nlichokitaka.

Wote washapata over 4.5 corners hata dkk 30 haijaisha.

Leicester nlimbeba na goli 2. Sahv keshatia 3:0

Naomba game ya Everton isitoe red card

Afu fayenood ashinde full time.

Eeh mungu Okoa hili jahazi.
Kubeti kona unabetije
 
Back
Top Bottom