Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mkuu wewe Muongo yaani unanipa faraja unaona kabisa Kanji ananiminyia mapilipili machoni unasema kabisa nivumilie kweli?Kuwampole aujaisha wanaachia mwishoni
Haya Naona dakika zinasonga sijui wamekaa sijui wanacheza!! [emoji15] [emoji15]