Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mkuu wewe Muongo yaani unanipa faraja unaona kabisa Kanji ananiminyia mapilipili machoni unasema kabisa nivumilie kweli?Kuwampole aujaisha wanaachia mwishoni
Hongera snmkeka safi
kwa hao wajerumani wanaweza kubanaView attachment 651639ushauri kabla sijalipia
Tusirudinnyuma mpwa wamekufa wan..i 14Mkuu Pdiddy ndo hivyo tena nimepigwa bonge la Ngumibya utosi
Ngoja niandae tena wa jero.Tusirudinnyuma mpwa wamekufa wan..i 14
Wamebaki105 ajarudi hats mmoja wamebaki nn mhindi
Signout alafu uingie tenawadau msaada kama kuna mtu amedeposit hela merridian imekubali au laa,kwan mm toka saa 12 asubuhi mpk muda huu haijasoma
Mkuu Pdiddy ndo hivyo tena nimepigwa bonge la Ngumibya utosi
Sydney kashamuuzia kanji mechiSydney fc vs Melbourne city fc
Tip 1&u4.5
Odd 2.11
Thank !me later morning tea
*yeah predictions*
Remember to stake what you can lose since we also just predict good luck
Hata la Offside hakuna duhHawajachomoa hata moja? [emoji24]
Huyo Sydney men ni mwiba wa moto ligi kuu Australia.Naongelea Sydney (men), mech inaanza SAA 11:50