lord jozee
Senior Member
- Sep 14, 2017
- 138
- 73
Me alikua kwenye minne kasepa na mshkowa kutosha
Me too na regret sana, yani nilikuja stuka yupo ktk mikeka mi3 na akiwa na Direct Win, cjui nilijisahau vpNilikuambia bro earlier nilikua naregret
wiki iliyopita alipiga mtu 6 huyoFC Den Bosch vs Fortuna Sittard
Score: 0 - 3
Min: 44
⚽ Goal!!
Fortuna Sittard
Sorry sana mkuu, its all my fault.Me too na regret sana, yani nilikuja stuka yupo ktk mikeka mi3 na akiwa na Direct Win, cjui nilijisahau vp
utakuwa una tamaa wewe unataka mikeka ya odd 100+ mbona kila siku tunaweka mikeka ya odd 2 hadi 10+ humu ina wiinJaman eeeb amna mtu awe ana nipa kla mkeka anao bet na mm. N bet ivy ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kama cna nyota naliwa tu daily...
Wew mtamu [emoji1] [emoji12] [emoji12]Jaman eeeb amna mtu awe ana nipa kla mkeka anao bet na mm. N bet ivy ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kama cna nyota naliwa tu daily...
dah oostende na mwenzie wamezingua kuleDuh!
Acha mpira uitwe mpira.
Kwa rekodi Hizi sijaamini bado kama Pardeborn katoa kashindwa kushinda hii mechi.
Mikeka 2 imechanika na rekodi Pia imevunjwa leo kwa Pardeborn kutoa sare nyumban kwa mara ya 1 tokea msimu huu umeanza.
Sio mbaya, Mapambano bado yanendelea
View attachment 651968
Hongera mkuu naona umemkalisha safi sana...uliweka stake ya how much?WAKUU
bado wawili tu wa hapo juu nimshughurikie ipasavyo muhindi mpunga wa haja.
Hao wawili wa chini, mambo swafi.
View attachment 651908
Amna mkuu m natumia M-Bet naoma kla siku na kosa tu ka timu ka moja kana harbu dailyutakuwa una tamaa wewe unataka mikeka ya odd 100+ mbona kila siku tunaweka mikeka ya odd 2 hadi 10+ humu ina wiin
hii ligi hadi raha jaman
mungu wangu hama hiyo kampuni huto kula daima. kwanza option wanabana sanaAmna mkuu m natumia M-Bet naoma kla siku na kosa tu ka timu ka moja kana harbu daily