Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Cambuur 0 - 0 Dordrecht


hawa wapuuzi nao wamexindwa kupata hata 1goal half time
 
Duh!

Acha mpira uitwe mpira.

Kwa rekodi Hizi sijaamini bado kama Pardeborn katoa kashindwa kushinda hii mechi.

Mikeka 2 imechanika na rekodi Pia imevunjwa leo kwa Pardeborn kutoa sare nyumban kwa mara ya 1 tokea msimu huu umeanza.

Sio mbaya, Mapambano bado yanendelea
 
Jaman eeeb amna mtu awe ana nipa kla mkeka anao bet na mm. N bet ivy ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kama cna nyota naliwa tu daily...
 
Me too na regret sana, yani nilikuja stuka yupo ktk mikeka mi3 na akiwa na Direct Win, cjui nilijisahau vp
Sorry sana mkuu, its all my fault.

Ila ukweli Pardeborn ni Timu nzuri sana,

sjajua nini kimewakumba kwa siku ya leo, na ndio mara yake ya kwanza kutoa sare nyumban.

Pitia takwimu zake hapa chini mkuu.
 
Jaman eeeb amna mtu awe ana nipa kla mkeka anao bet na mm. N bet ivy ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kama cna nyota naliwa tu daily...
utakuwa una tamaa wewe unataka mikeka ya odd 100+ mbona kila siku tunaweka mikeka ya odd 2 hadi 10+ humu ina wiin
 
WAKUU

BET WOOOOOOON

nlkua Nawasubiri tu kina Wednesday wafunge goli moja tu 1st half.

Dkk 39, wolves anaongoza

Tayar NSHAPELEKA KILIO CHA MKEKA WA 3 KWA MUHINDI KWA SIKU YA LEO.

Hela ya kugharamia ya suti ya Xmass ya baba mkwe ishapatkana Inshallah.

BADO POCKET MONEY YA MAMA MKWE XMASS, Mapambano yanaendelea

Hongereni sana mlionifata ktk huu mkeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…