DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Leo ilkua pesa nje nje sana.Asante sn amenipa ahueni ... ka presha kamepungua from 80% to 65%
[emoji14]
Angalau huu APA chini.
Nlkua nmempiga mkeka wa 4 kwa siku ya leo.
Kauchana Royal Mouscolon peke yake dakika za mwisho mwisho.
Cc: troublemaker