Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 602
- 268
Tigo dial *150*01# choose option 4 payments then choose to enter business no ambayo ni 888866 ukimaliza enter your user1d as reference,enter amount finally enter your pin no ya tigo pesa yako na usubiri SMS ya kukoconfirm kitu imejipa
Wakuu.. Samahani msaada namba ya kudeposit ktk iplay8cassino
Ivi jamani kuna mtu kashawahi kucheza Online kupitia Meridian na akaenda kuchukua mkunjwa .
anipe Process
Je pessa unazitolea mpesa au Vip
Nimeshinda vimechi kadhaa kama pilot testing nataka kutoa .
Nenda kwenye branc yao iliyo krb na ww utapata maelekezo yote unatoa na kupatiwa hapohapo
sorry Hawalipi moja kwa moja kwa simu kama M-bet?
Unaeza itoa kwenda mpesa number uliyoingiza hapo afu itajuja .mpesa ndani ya masaa 24. sio lazima kwendavkwenye vituo vyao
Asanteeeh mkuuHiyo ndiyo njia ya kuweka hela
Fernabahce dahhh nimekosa mpungaaa wa maana napoli fresh fc midtyjland fresh sparta prague fresh fernabahce mmmhhh
View attachment 229105
jana roma...juzi man utd..leo tena fernabache ...aseeeeee huu ugonjwa wa timu moja moja umerudi tena.....
View attachment 229109
nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....
View attachment 229109
nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....