Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nikiingia online meridian nakutana na haya majitu kulikon wanajamvi au mimi tu?
 
Attachments

  • 1424692131701.jpg
    1424692131701.jpg
    119.3 KB · Views: 152
Tigo dial *150*01# choose option 4 payments then choose to enter business no ambayo ni 888866 ukimaliza enter your user1d as reference,enter amount finally enter your pin no ya tigo pesa yako na usubiri SMS ya kukoconfirm kitu imejipa

Kwa M-PESA na crdb inakuaje wakuu..!?
 
Ivi jamani kuna mtu kashawahi kucheza Online kupitia Meridian na akaenda kuchukua mkunjwa .

anipe Process
Je pessa unazitolea mpesa au Vip

Nimeshinda vimechi kadhaa kama pilot testing nataka kutoa .
 
Ivi jamani kuna mtu kashawahi kucheza Online kupitia Meridian na akaenda kuchukua mkunjwa .

anipe Process
Je pessa unazitolea mpesa au Vip

Nimeshinda vimechi kadhaa kama pilot testing nataka kutoa .

Nenda kwenye branc yao iliyo krb na ww utapata maelekezo yote unatoa na kupatiwa hapohapo
 
Fernabahce dahhh nimekosa mpungaaa wa maana napoli fresh fc midtyjland fresh sparta prague fresh fernabahce mmmhhh
 
fern.png

jana roma...juzi man utd..leo tena fernabache ...aseeeeee huu ugonjwa wa timu moja moja umerudi tena.....
 
home.png

nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....
 
Leo pesa ipo hapa...wape hawa:-Middlesbroungh,ipswitch,scunthorpe,bristol rovers,guisley,wolves pia preston...mkeka mwingine wape barca,doncaster,derby,chorley na grimsby.
 
View attachment 229109

nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....

Mkuu mkeka uko poa sana risk pekee ni hapo kwa rotherm hawa hawatabiriki wanaweza kulazimisha sare au hata wakashinda kama vp tupia mwingine uwareplace na preston.
 
Back
Top Bottom