Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaka km kunapesa ambayo utakuwa unajilaumu kuikosa wazwaz n hii.Ss knacho tuumiza n mtaj tu lkn km mtaji unakuwepo mbona tunatusua kla cku

Kweli mkuu! Vitendea kazi navyo vinachangia, nikirekebisha simu yangu muhindi atanielewa!
 
Jamani niombeeni, nimempa mzigo OKC kushinda kwa gap ya 6 points.

Mkiona ameshinda tu, ambaye atakuwa amefanya maombi sana atapata vocha.
 
Jamani niombeeni, nimempa mzigo OKC kushinda kwa gap ya 6 points.

Mkiona ameshinda tu, ambaye atakuwa amefanya maombi sana atapata vocha.

Ok mkuu kwa uwezo wake utatusua tu,Lkn km jn ungeona nlcho kushaur mkuu leo ungeamka na jeur kubwa
 
Ok mkuu kwa uwezo wake utatusua tu,Lkn km jn ungeona nlcho kushaur mkuu leo ungeamka na jeur kubwa

Nilichelewa kaka, unajua natumia Laptop, sasa ukiwa kwenye daladala huwezi kufungua, nimekuja kufika home game zimeshaanza.

Weekend nitarekebisha simu yangu niwe hewani vilivyo.
 
Nilichelewa kaka, unajua natumia Laptop, sasa ukiwa kwenye daladala huwezi kufungua, nimekuja kufika home game zimeshaanza.

Weekend nitarekebisha simu yangu niwe hewani vilivyo.

Poa mkuu ngoja tuombe dua kwenye huo ulio weka me hawa jamaa tukiwapga najickia raha mana wanatuonea sn
 
Wadau
Sasa nataka kuleta mrejesho wa kilicho tokea kwenye vurugu zote zle za jana,si haba san na matumain yapo inaonesha waz hawa jamaa ipocku watapasuka vby sn km umoja na mshikamano wetu utaendelea hvhv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…