yakub yusuf
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 319
- 86
Mie mwenyewe M-BET angalau nilikuwa napiga mtonyo ila tangu nimeamia meridian na premier betting kila siku nikuishi kwa matumaini ya labda kesho lakini kesho yenyewe haiwi!!
wakuu tips nyingine ya kumpiga mhindi ni tena hii ina asilimia kubwa ya kumpiga mhindi,kwenye premier betting kuna fixture iitwayo ngumu kumeza ambayo ina option 9,sasa cha kufanya hapo uhakika zaidi ni kuweka timu mbili,unaweka timu moja ambayo ni jembe ina asilimia kubwa ya kushinda mfano chelsea,madrid,barcelona au man city,unampa option kwamba ataongozo mwanzo mwisho yana half time na full time,then unatafuta game nyingine sana sana iwe ngumu,then unatengeneza mikeka tisa kama zilivyo option na kila mkeka unaiweka hiyo timu yako kubwa kuwa itaongoza mwanzo mwisho halafu na game nyingine ngumu so hizi timu mbili ukishatengeneza mikeka unakuwa unaomba timu yako kubwa ishinde mwanzo mwisho pakitiki hapo tu huku game nyingine hata matokeo yaweje we utakula tu.cha msingi ni dau ukuweka dau kubwa basi na pesa itakuwa juu,kazi kwenu wadau.
Ibra Mo
Mkuu ngoja nifanye kaz kwaajl yako ss leo nataka nijitahd ntengeneze mkeka kwaajl ya ksho huo n spesho kwako.natengeneza mi3 hapo huwez toka kapa.NAINGIA KZN rasmi
Ibra Mo
Mkuu ngoja nifanye kaz kwaajl yako ss leo nataka nijitahd ntengeneze mkeka kwaajl ya ksho huo n spesho kwako.natengeneza mi3 hapo huwez toka kapa.NAINGIA KZN rasmi
Mkuu kama sijakuelewa! unaweza ukanielewesha vzr. asante.
usijali mkuu,iko hivi kwenye premier betting kuna fixture moja iitwayo ngumu kumeza ambayo huwa ina option tisa,so wewe unachotakiwa kufanya ni kuchagua timu(kwangu mbili ndo nzuri zaidi) mechi moja iwe ya uhakika yani umpe yule mwenye uwezo wa kuongoza mwanzo mwisho yani half time mpaka full time mfano madrid,chelsea au bayern then unatafuta mechi nyingine ambayo ni ngumu halafu option zina pointi nyingi,so baada ya hapo unatengeneza mikeka tisa kama vile option zilizopo(9),unachofanya mikeka yote tisa unamuweka timu yako jembe kwamba itaongeza mwanzo mwisho,halafu mechi ya pili kila mkeka unaweka option yako,so mwisho wa siku timu yako jembe ikishinda tu basi mechi ya pili hata matokeo yaweje we utakula tu mmoja kwa lazima,so pointi ya msingi ni kuweka dau lefu tu na mpunga nao utakuwa mrefu.
View attachment 232191View attachment 232192View attachment 232193
Hii mikeka iko aina mbil huo wa kwanza ukiona inafaa unaweza chukua lkn kushnda kwake n 79%.Hiyo miwil ndio haswa ya kudil nayo hyo n mikeka ya kesho huo wa Pil hapo kuwin n 92% lkn huo wa tatu me naupa 98% kushinda hyo 2 ilyobak naiacha kwa soka na vituko vyake.
Mbaya zaidi nilimuweka mikeka yote pimbi huyo. Nipe mambo ya leo Mkuu as now ndo natoka kwa Kaizari.Hahahaaaa kwel mpr hauna adabu
Yan kwamfano umeweka Man cty ashinde vpndi vyote na kwengne unaweka Arsenal ashinde vpnd vyote ss ikatokea Man cty kashinda half Arsenal kashindwa hapo inakuwa vp yan umekula pia?
Hapo umeliwa Mkuu ubaya wa ngumu nikwamba unacheza kwa kila kipindi...mfano Umesema chelsea ashinde mwanzo mwisho kama yupo home ni 1/1 iwapo atashinda cha kwanza goal 3 cha pili oponent akachomoa 1 umepigwa maana yake ni kwamba cha pili hakushinda.
Mkuu 1/1 maana yake ni kwamba wa nyumbani ashinde first half na final results awe mshindi, so kama kipindi cha kwanxa kashinda 3 na cha pili akapigwa 2 bado ni winner. Unless unazungumzia ashinde vipindi vyote.7
Wakubwa naomba kueleweshwa juu ya kubet maana mimi sijui chochote hapo
naaam! Hii ndo sahihi,so namaanisha kwamba unachukua timu mbili mfano chelsea vs burnley halafu ya pili labda livapul na stoke,so unachofanya ni unampa chelsea aongoze mwanzo mwisho yani mpaka half time aongoze yeye na pia mpaka full time aongoze yeye,ila cha msingi ni kwamba kipindi cha kwanza aongoze na mwisho wa siku ashinde,kwa hiyo kama akipata goli 3 mpaka half time ila kipindi cha pili akafungwa goli mbili matokeo yakawa 3 kwa 2 bado utakuwa umeshinda bcoz ameongoza mwanzo mwisho.kwa hiyo katika ile mikeka tisa yote utampa aongoze mwanzo mwisho halafu mechi ya pili utaweka options zote 9 tofauti tofauti.labda nikuoneshe mfano umechagua mechi namba tisa na 10,man u na arsenal halafu stoke na liva,so mkeka wa kwanza unaweka hivi 9-1
10-1 unatoa labda jero then
9-1
10-2 then
9-1
10-3 then
9-1
10-4 then
9-1
10-5 then
9-1
10-6 then
9-1
10-7 then
9-1
10-8 na
9-1
10-9
so kama timu ya man itaongoza mwanzo mwisho basi matokeo ya mechi ya pili hata iweje utamla tu mkeka.nadhani hapo utakuwa umeelewa mkuu.
yap but ni michezo ambayo huwa ina pointi nyingi mfano kama ukiweka jelo kwa kila mkeka jumla inakuwa 4500,siku mambo yakienda vizuri mfano flani aongoze mpaka half time then second half mwingine akarudisha na kushinda utakuwa unacheza kwenye elfu 30000 na ushee.30 mfano kwa buku 4500 si haba mkuu.
hizi betting kuzijua namba za beting ni kaz sana