Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
Wakuu Naomba mnieleweshe hand cap za meridian huwa sielewi... Zipo option nyingi nielekezeni Tafadhali
H home A away
-1.0 H1 ashinde kwa tofaut ya goli mbili+ akishinda kwa tofauti ya goli 1 money back
-1.5 H1 home ashinde tofaut ya goli 2+ akishinda kwa tofauti ya moja umeliwa
-2.0 H1 home ashinde kwa tofaut ya goli 3+ akishinda kwa tofaut ya goli 2 pesa inarudishwa odds 1.0 lakini akishisha chini ya tofauti ya hizo goli mbili unakuwa umeliwa
-2.5 H1 home ashinde kwa tofaut ya goli tatu+ akishinda chini ya hapo unakuwa umeliwa
System iko ivooo kwa -3.0 -3.5 -4.0 kuendelea
Tunakuja upande wa away team....away team inakuwa haina (-) inakuwa ni (+)= [(1)namba yenyewe] ikitambulika kama (H2)
1.0 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli mbili+ akishinda kwa tofauti ya goli 1 money back
1.5 H2 away ashinde tofaut ya goli 2+ akishinda kwa tofauti ya moja umeliwa
2.0 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli 3+ akishinda kwa tofaut ya goli 2 pesa inarudishwa odds 1.0 lakini akishisha chini ya tofauti ya hizo goli mbili unakuwa umeliwa
2.5 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli tatu+ akishinda chini ya hapo unakuwa umeliwa
3.0 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli 4+
Akishinda kwa tofauti ya goli 3 pesa inarudi odds 1.0
Akishinda kwa tofaut ya chini ya 3+ umeliwa
Nadhani tumeelewana