Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ImageUploadedByJamiiForums1425394806.113880.jpg
Ibra MO
Kwa ushaur wangu wa leo zile gem3 ulzo htaj ztokane na hapa hz ndio zko na chanc kubwa ya ushind kwa cku ya leo japo mpr hauna adabu.
 
Nishanunua ticket 1 yenye odds 5.x ni 95%safe mwenye kipato chake cha kuinunua anitumie pm(private message)
Mwenye uwezo na odds hizo
10000 x 5= 50000
 
Nishanunua ticket 1 yenye odds 5.x ni 95%safe mwenye kipato chake cha kuinunua anitumie pm(private message)
Mwenye uwezo na odds hizo
10000 x 5= 50000
Private ya nn ndugu. Mbona hapa watu tumeshazoea kushauriana hadharani. kama huna ubinafsi tupia hapa watu washauriane.
 
Nop siuz ila ni sawa natoa free ukilinganisha na bei nliyo nunulia

haha,mkuu inaonekana wewe ni mgeni kwenye mambo haya, unalipia website gani kupata tips? bettingexpert,portal,betrush? au unapata kwenye vijiwe vya kahawa?
u can stay with your odds kwasababu huu ni mpira,nothing is certain. kama huwezi changia then anzisha thread yako usichafue hali ya hewa hap
 
Nimenunua men

Wajinga ndio waliwao hakuna bingwa wa utabr wa mpr kla cku akapatia we nunua hvyhvy lkn ipo ckuyako utajuta.Lkn km unaona unauhakika sn huo mkeka usambaze kwa familia yako yote il muwe matajir kwa mkupuo co kuomba wakumuuzia humu wote ulio wakuta n mafund zaid yako wanatengeneza wenyewe na wanatuyua vlvl
 
Huyo alie kuuzia mwenyewe kautoa humu kwa walimu wake ss we ulio chelewa unataka kuuza tena humu,.UTACHEKWA😄😃😄😃😄
 
Hapo kwa bornemouth pagumu siku za karibuni amekuwa off-form ndomana kadrop kutoka position ya kwanza hadi ya 4 na wolves kwa sasa wapo vizuri ni bora ungechagua kati ya key dons na swindon ukampa m1.
Mkuu mi nikibet inaandika player not found hii ina mana gan?
 
Back
Top Bottom