Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

vicenza uwiiiii.........:A S confused::A S confused::A S confused:
A%20S%20confused.gif
 
wadau baadae nipo hivi
man u win
man city cap win
barcelona win
arsenal cap win
bayern win
werder bremen win
chelsea win
liverpool win
wolfsburg win
norwich win then natia buku
 
Nawezaje kuacha kubet?
Nikipata japo ushauri&tiba nikaacha japo kwa mwezi mmoja
 
Nawezaje kuacha kubet?
Nikipata japo ushauri&tiba nikaacha japo kwa mwezi mmoja

Betting ni kamari kama kamari nyingine, uzuri wa betting hupotezi muda kama kamari nyingine. Ukishafanya betting unaendelea na mambo yako. Usipende kuweka madau makubwa. Punguza budget ya pombe weka kwenye bet. Tumia at least 2000 kila baada ya siku 1.
 
Wakuu Naomba mnieleweshe hand cap za meridian huwa sielewi... Zipo option nyingi nielekezeni Tafadhali
 
Hapa nmeona km leo anaweza kujiulza kutokana na yalio tokea lkn wcwc ndio akil namchomo fasta namuweka Swindon kdg yuko vzr

Pole sana Mkuu swindon nilimuamini ameharibu sana bora tungemuacha bournemouth...Duuh betting ngumu mie leo kichwa kinauma mkeka utakaotupia nachukua kama ulivyo.
 
Yaani saiv ni mawazo ya kumpiga mzungu mpaka atetereke kiuchumi
Wale wapenda cap
Hapa nani atoke
 

Attachments

  • 1425453373378.jpg
    1425453373378.jpg
    67.6 KB · Views: 181
Hata Tim tank znachana ngoja niandae mwingine
 

Attachments

  • 1425454147528.jpg
    1425454147528.jpg
    44.6 KB · Views: 170
Pole sana Mkuu swindon nilimuamini ameharibu sana bora tungemuacha bournemouth...Duuh betting ngumu mie leo kichwa kinauma mkeka utakaotupia nachukua kama ulivyo.

Ibra Mo
Me kuna falsafa ambayo huwa natumia kuchagua timu,kwanza naangalia matokeo yaliopta nyuma kwa timu hucka hasa kwenye hz lig ndogo za England timu ikiwa imeshnda mfululzo zaid ya mech3 au 4 bac muogope sn kwenye mech hyo hata km anacheza na simba anaweza kufa timu ikiwa imefungwa mfurulzo bac mpe nafac kubwa ya kishnda hata km anacheza na Barca fwatilia hlo utagundua ndiomana deby jn kafa Dons nae kafa hawa walikuwa na matokeo mazur nyuma na hata mech iliopita nilsema Fulham atashnda mech na deby kutokana na matokeo yaliopita yalvyo kuwa ss mech ijayo deby hata milion muwekee anaua bla ubshi.
 
Back
Top Bottom