No maana yake umekataa yaani umesema wanyumbani hawezi kushinda bila yeye kuruhusu golikwa hiyo ikiwa NO maana ake inakuwaje?
thanx kiongozi, na screen sheet ina maana ipi ?No maana yake umekataa yaani umesema wanyumbani hawezi kushinda bila yeye kuruhusu goli
Clean sheet= timu ishinde bila kufugwa goal.thanx kiongozi, na screen sheet ina maana ipi ?
safi brazaClean sheet= timu ishinde bila kufugwa goal.
Mfano 3-0, 2-0, 0-7
We endelea kuwa tomaso....mkuu deep we endelea kuweka hvyo hvyo asietaka akalale mbelee.....me napitaga kwenye mikeka yako kimya kimya nikicheka huku namuua kanji taratiiibu[emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] ubarikiweeView attachment 662434Afanye kama Mr wise
Huyo Godzilla ni mpumbavu tu humu katika hili jukwaa na huyu mda mwingi hutumia kuwapinga wale watu wanaoleta positive impact kwenye hili jukwaaa....inaonekana hapendi kuona watu wakisema wamempiga kanjii anaroho ya kwanini na hapendi mafanikio ya watuuu.....naomba nimtukane maana ana mambo ya kiqumaaaa.....HABARI ZA MCHANA WAKUU.
Kiukweli
Honestly, from my heart.
nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.
Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,
Afu nawadanganya watu humu ndani.
Eti inawezekana, hata huwa sibet.
Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,
Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,
Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.
Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Sio screen sheet ni clean sheet hii maana yake wavu usiguswe yani kusiingie goli kwa uyo muhusika, mfano zinachezathanx kiongozi, na screen sheet ina maana ipi ?
**** tu huyooo wanaleta roho mbaya humuuNatamani kujuà kabila LA Godzilla na darmian hakika hats mwanangu asingeoa huko
Halitaki maendeleo
Lina wivu usionamaaana badala ya wivu wa maendeleo
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Sio screen sheet ni clean sheet hii maana yake wavu usiguswe yani kusiingie goli kwa uyo muhusika, mfano zinacheza
Simba vs Yanga .....hapa nikisema Yanga atapata clean sheet ntakua na maanisha kwa matokeo yoyote ya iyo mechi mpira usiingie golini kwa Yanga (Yani Yangu asiruhusu goli kabisa kuingia)
inatosha mkuu kashaelewa**** tu huyooo wanaleta roho mbaya humuu
Mkuuu hasira za nin na hujawahi kula hata milioni ?????
Pmojaaainatosha mkuu kashaelewa
Hata mimi namsubiri sanaDeepPond [emoji351][emoji351][emoji351]
Mkuuu unapenda tuendeleze malumbano?????nakuomba utulie japo una miaka 7 jamiiforum[emoji2] [emoji120]