Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwenye 1000 tigopesa anisaidie ya mtaji nitafute odds mbili za uhakika namrudishia hata mpaka ukichanika nitamrudishia huku nilipo no tigopesa
 
Wadau wiki iliyopita kuna jackpot moja ya sportpesa nilipga game 11 xaxa wiki hii nimechafukwa nataka kupga zote ebu tubadilishaneni uzoefu hapa ujue nimezipania
 
Chief pole pole ndio mwendo ... anza na hiyo Buku uliyonayo utafute odds 5, then odds 4, then 3 utakuwa na 60K ... ushafikia level za kuweka 50K na kutafuta odds 2 hadi 2.5 ...

Ukitaka kwa buku hilo upate 100K haitakuwa rahisi. Huwa inatokea mara chache sn.
Mkuu leo wachina vp kwenye Bb
 
Mkuu leo wachina vp kwenye Bb


Nimewaona hawa ...

Tianjin Rong Gang - Shanxi Dragons
Over 225.5 points
1.50

Odds: 1.5

Kuna wengine wanaitwa Zhejiang Guangsha lkn naona Premierbet & Princessbet kote hawajawapa Over/Under ... nlitaka niwape Over 120.5
 
HABARI ZA MCHANA WAKUU.

Kiukweli

Honestly, from my heart.

nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.

Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,

Afu nawadanganya watu humu ndani.

Eti inawezekana, hata huwa sibet.

Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,

Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,

Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.

Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
2017-12-29-12-22-15.jpg
 
Sawa coz kushinda nako game 13 sio mchezo ,,,kuhusu bahati nako siamini mie naamini katika kuchambua na kuona nani anaweza kushinda
Mkuu ni sawa kwa wewe unavoamini..ila kupatia gemu 13 zenye odds za 2.0+ kwa normal win usifanye masihara.
 
Nimewaona hawa ...

Tianjin Rong Gang - Shanxi Dragons
Over 225.5 points
1.50

Odds: 1.5

Kuna wengine wanaitwa Zhejiang Guangsha lkn naona Premierbet & Princessbet kote hawajawapa Over/Under ... nlitaka niwape Over 120.5
Hao wengine vp maana naona wapo watatu
 
*ENGLISH ALERT ⚠ *

69G5HQS

2 ODD

Code 4442 Date 29/12/2017 20:45
Event Millwall - QPR
Live/Prematch Normale Selection (2:0) 1 H

Code 4443 Date 29/12/2017 20:45
Event Doncaster - Rochdale
Live/Prematch Normale Selection (1:0) 1 H

Code 4444 Date 29/12/2017 20:45
Event Wigan - Charlton
Live/Prematch Normale Selection 1

Code 6458 Date 29/12/2017 20:45
Event Morecambe - Yeovil Town
Live/Prematch Normale Selection (0:2) 2 H

[HASHTAG]#BELIEVE[/HASHTAG]
 
HABARI ZA MCHANA WAKUU.

Kiukweli

Honestly, from my heart.

nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.

Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,

Afu nawadanganya watu humu ndani.

Eti inawezekana, hata huwa sibet.

Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,

Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,

Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.

Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
kazi ya Mungu haina makosa ndo uumbaji wa Mungu huo.
chief nimekosea kucopy hallow nimechukua hii Melbourne City FC v Wellington Phoenix FC DOUBLE CHANCE X2 nahisi kama nishapoteza mkeka lakini kwa Imani hakuna kinachoshindikana
 
HABARI ZA MCHANA WAKUU.

Kiukweli

Honestly, from my heart.

nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.

Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,

Afu nawadanganya watu humu ndani.

Eti inawezekana, hata huwa sibet.

Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,

Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,

Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.

Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Kaka Nadhan unaelewa ni jinsi Gani baadhi yetu tunakuamini hata tunakuja PM kuomba mwongozo. Ukitaka kuishi kwa tabu kubali kumfurahisha kila mtu. Nadhani kila siku utakua unafadhaika. Hembu waache waendelee kuongea halafu sisi tunaojua Mchango Wako tuendelee kufanya yetu. Itafika wakati tutajiengua humu nakuwa tunafanya kivingine kwa Sasa endelea kuwa mvumilivu. Somo ambalo nadhani nilifaulu zaidi kule nilikokwambia awali.

Tuendelee na mikeka yetu acha nao waendelee na fikra zao.

Nawasilisha
 
HABARI ZA MCHANA WAKUU.

Kiukweli

Honestly, from my heart.

nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.

Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,

Afu nawadanganya watu humu ndani.

Eti inawezekana, hata huwa sibet.

Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,

Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,

Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.

Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
mkuu achana nao hao ma ajenti wa muhindi baada ya hayo nikupongeze kwa huo mzigo unao onekana kwenye account yako si mchezo.
 
HABARI ZA MCHANA WAKUU.

Kiukweli

Honestly, from my heart.

nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.

Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,

Afu nawadanganya watu humu ndani.

Eti inawezekana, hata huwa sibet.

Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,

Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,

Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.

Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Mkuu tulisongeshe hili gurudumu....Achana na Masikini wa fikra..Wala usiwatilie maanani..
 
Back
Top Bottom