Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha uzezeta, mtu kulipia au kutolipia haikuhusu. Chagua baadhi ya timu kwenye mkeka wake kama unataka, kama hautaki unakausha. Sio unaleta habari za kike, eti mbona halipii.
Acha kupaniki brother huu mchezo huwez kufanya kaz kama kaz nyingine......utalia[emoji2] [emoji115]
 
Bas wakuuuu nimewaelewaaa cha msingi anayekula bas aseme n ya deepond tuamin ili tumfatee na sisiiiii
Boss mikeka yangu niliyokula kupitia Deepond si nimetuma...Kikubwa imani tuu...wapo akina Mr wise nao nawafutaga sana pia na nakula kwa two teams mpaka three.
 
DeepPond naheshimu sana kazi zako na kwa moyo wako wote unaojitolea, Mungu azidi kukubariki kaka.
Mkuu kwa sisi wenye mitaji midogo tufanye nini mana odds nyingi za ushindi ziko ndogondogo sana?


Chief pole pole ndio mwendo ... anza na hiyo Buku uliyonayo utafute odds 5, then odds 4, then 3 utakuwa na 60K ... ushafikia level za kuweka 50K na kutafuta odds 2 hadi 2.5 ...

Ukitaka kwa buku hilo upate 100K haitakuwa rahisi. Huwa inatokea mara chache sn.
 
Ndo hivyo acheni mambo ya kishamba. Mtu anaposhare tips humu hakuna faida anaipata. Angeweza kucheza na kushinda kimya vile vile.
msameheni jamani amawaelewa binadamu ndivyo tulivyo na ukitaka kuwa na busara na upeo tunahitaji watu wa aina hiyo...!!!
 
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
swala ni je mikeka anayoweka inatoa au haitoi?
 
Chief pole pole ndio mwendo ... anza na hiyo Buku uliyonayo utafute odds 5, then odds 4, then 3 utakuwa na 60K ... ushafikia level za kuweka 50K na kutafuta odds 2 hadi 2.5 ...

Ukitaka kwa buku hilo upate 100K haitakuwa rahisi. Huwa inatokea mara chache sn.
sawa ila odds 5 zilizo za pamoja hazipatikani kwa urahisi
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
sina historia ya kukosa kila weekend lakin juzi united kanichania mkeka walaki 2 niliweka timu chache mzigo wa kutosha hauwezi kukosa
 
Acha kupaniki brother huu mchezo huwez kufanya kaz kama kaz nyingine......utalia[emoji2] [emoji115]
huu mchezo kila mtu ana falsafa zake brother, kuna wanaoamini ni kazi kama kazi zingine na kuna wanaoamini ni mchezo tu si wa kuutegemea, sasa usitake falsafa zako na wengine waziamini.
DeepPond anakwambia ndio kazi yake kuu anayoitegemea katika kutatua matatizo yake, ameweza kumnunulia gari mke wake, kusomesha mtoto na inshu zake nyingi kwenda.
Hivyo mtendee haki kwa kuheshimu kile anachokifanya, jitahidi kukua basi (be matured).
 
*Nafunga mwaka hvii*

Juventus *win*
Napoli *win*
Sydney *win*
Fc Porto *win/over 2.5/cape/second half 2+*

*Stake 30,000/=*

*See u next year kanjibai*

[HASHTAG]#THXUKNOWN[/HASHTAG]
 
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
Fala kweli wew...hata usipoamini kwani we ni nani
 
Nia yetu sote ni kushinda, hakuna anayebet ili ashindwe....
Adui yetu ni mmoja tu naye ni Mmiliki wa kampuni ya kubet...
Tukigombana sisi yeye anafaidika maana tutapoteza muda kubishana badala ya kujadili nini tufanye tuweze mpunguzia faida anayopata, kama anapata bilioni 1 kwa mwezi Kama faida Basi tuipunguze Hadi iwe milioni 500

Hatuwezi shinda tukiwa watengano...

Mbona wengine twaokoteleza humu na twashinda na kukaa kimya?

Ukisema tuweke slip za ushindi humu wengine wanachukia kwa kusema mbona hukuweka kabla...

Wivu mbaya sana, Hadi kenye kubet mtu anamuonea mwenzake wivu......
 
Back
Top Bottom