Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

@basisi tupia zile tips za kutoka V.I.p Jana uliweka nikaokota baadhi nimemla. asante sana
 
Kwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.
Alafu pia huwezi kusisitizia watu kuwa betting ni biashara rasmi,hiki kitu hakiwezekani,kubeti kunakupa hela ndio ila lazima upepo uwe upande wako,biashara ya vitumbua ikikudodea unaweza hata kuvila mwenyewe,sasa kanji akikupiga we unabaki na nini.tusiwapoteze watu,, pesa inapatikana ndio ila sio guarantee..
Hapa JF kila mtu anajitambua hakuna anaeshikiwa akili.
 
8df75dae345db7c144ffb023177a7c8c.jpg
 
tatizo deepond anashare mikeka ya odd 2 kitu ambacho wanafaidika wale wenye mitaji mikubwa. mkuu deepond tufikilie hata sisi wenye buku/buku mbili tuwekee hata zile za odd 4 option ya ov 1.5 , under 3.5. Asante
 
Kwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.
Alafu pia huwezi kusisitizia watu kuwa betting ni biashara rasmi,hiki kitu hakiwezekani,kubeti kunakupa hela ndio ila lazima upepo uwe upande wako,biashara ya vitumbua ikikudodea unaweza hata kuvila mwenyewe,sasa kanji akikupiga we unabaki na nini.tusiwapoteze watu,, pesa inapatikana ndio ila sio guarantee..
Hii mikeka ni Copy and Paste kutoka kwa Mkuu DeepPond

1.png

2.png

Huu niliuokota kwa member mwengine huko
3.png

Mapambano bado yanaendelea
 
MAPEMAAA ZIKOHAPAAAA JANAA WALIZIONA WAKAVHOMOA ALL THE BEST LE NAYOSIKU LAZIMA APIGWE TU
Screenshot_20171229-085459.png
Screenshot_20171229-085451.png
Screenshot_20171229-085446.png
Screenshot_20171229-085438.png
Screenshot_20171229-085358.png
Screenshot_20171229-074846.png
Screenshot_20171229-074235.png
 
MKEKA No. 1

Odds: 2.65

Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,800 Tsh

Nb: huyo wa kwanza ni Newcastle jets wanaume, huyu wa mwisho NI newcastle jets wanawake.

Mapambano yanaendelea
2017-12-29-09-11-44.jpg
 
Kwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.
Alafu pia huwezi kusisitizia watu kuwa betting ni biashara rasmi,hiki kitu hakiwezekani,kubeti kunakupa hela ndio ila lazima upepo uwe upande wako,biashara ya vitumbua ikikudodea unaweza hata kuvila mwenyewe,sasa kanji akikupiga we unabaki na nini.tusiwapoteze watu,, pesa inapatikana ndio ila sio guarantee..
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
 
Back
Top Bottom