Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

daah nliweka mkeka mmoja kona tisa na mwingine nkamfuata DeepPond yote imetoa
 
Wale wazee wa hockey saa tisa mpaka kumi hivi kuna league pendwa za Canada Ohl na Whl
Over 4.5 zitakuwepo nyingi tu
 
Mkuu vp HALI yako uko?
Mkuu habari za biashara leo sijapata muda hata wa kupaste lakini naithamini na kuiheshimu sana kazi yako kuna kijana naona kaingia na jazba humu sijui imekuaje kapotelea huku au yawezekana anafikiri anafanya mawasiliano na rika yake humu. Mungu akijalia kesho. We should always trust our führer's instincts you have always managed to lead us to victory😀😀😀😀
 
upload_2017-12-29_1-17-29.png


Slot No. 3 BET WON
 
Back
Top Bottom