OVER 0.5 FIRST HALF
Unatakiwa uyazingantie yafuatayo.
1. Ligi husika.
a)Hapa inabd uzijue Ligi zenye wastani mkubwa sana wa magoli.
Hasa Ligi zenye wastani wa magoli 3.2 na kuendelea.
Mf: Ligi Holland 2
Ligi kuu Bolivia
Ligi kuu wanawake German
Ligi kuu wanawake France
Ligi kuu wanawake Belgium
Ligi daraja la 3 German
b) Ligi zenye competition ndogo kabisa kwa baadhi ya TIMU.
Hapa namaanisha kwamba, Ligi inaweza kua na timu 20.
Ila kwny hilo Ligi KUNA timu 4 zenye distinction performance na zinazinyanyasa sana timu nyingine za chini.
Mf:
1. Ligi ya Holland 2
- Huku utawakuta kina NEC nijmeng, Fortuna Sittad na Jong ajax wakiwanyanyasa sana underdogs chini ya msimamo.
Hasa hasa huyu Jong ajax, ndo hatar zaid akiwa home.
Huyu hana kabisa habar za defense, yeye defence yake ni kushambulia tu.
Mwendo wa Piga nikupige.
Ndo maana mechi zake nyingi ni ngumu kupata clean sheet.
Yaan Dkk 30, unaweza kuta magoli ni 3:2
2. Ligi kuu wanawake German
-Huku utawakuta kina Wolfsburg na Bayern.
Hawa kina mama wawili wakijerumani wameifanya ile Ligi Mali yao binafsi.
Wao humaliza biashara mapema kabisa first half.
Hasa hasa wakicheza nyumbani na underdogs wote wa chini ya msimamo.
Mechi zao mara nyingi huisha kwa matokeo ya 10:0, au 7:1 au 12:2
3: Ligi daraja la 3 German.
Hapa kuna mjeshi mmoja anaitwa Pardeborn.
Huyu kwny vita ya ubingwa kule, yeye ndo Rambo afu wengine wavietnam.
Yaan mechi zake humaliza mapema kabisa ndani ya dkk 30,goli 2 ni kawaida.
4.Ligi kuu wanawake France
Hii Ligi KUNA wababe wawili tu, wengine walobaki ni magharasa tu.
Hawa ni Olyimpic Lyon na Psg.
Hawa kina mama wawili , hasa hasa Lyon hawacheki na kima kabisa.
Huyu Lyon tokea Ligi imeanza hajawahi vuka dkk ya 10 bila goli.
Na mechi zake Lyon hazifai kabisa kubet over 2.5
Huyu mechi zake Unabet over 6.5 afu unaagiza balimi moja kwa moja ukisubir dkk 90.
5. Ligi ya wanawake Ubelgiji
Kwny hii Ligi KUNA malkia wawili tu wenye uhakika wa over 0.5 first half.
Hawa ni Anderletch na Gent
Hawa wanatoa dozi ya haja ya kutosha kabisa ya magoli.
Hasa hasa huyu Anderletch, huyu akiwa home anafaa kabisa over 2.5 first half.
Maana mechi zake nyingi magoli huanzia goli 10+
Juz juz tu hapa, kuna timu ametoka kuichapa goli 14:0
6. Ligi ya Thailand
Kule kuna jamaa mmoja anaitwa Muong Thong.
Huyu hutoa vichapo vya mbwa mwizi, hasa anapokutana na wale kuanzia nafas ya 10- 20 kwny msimamo wa Ligi.
Dkk 25 first half, mechi zake zote za nyumbani kafunga goli.
7.Ligi kuu Turkey
Huku kuna njemba moja inajiita Galatasaray.
Huyu jamaa mechi zake zote Ligi kuu msimu huu akiwa home ground, zimeshuhudia goli 1+ first half pamoja na goli 1+ second half.
Huku akiwa na 75% ya mechi zake zote kutoa goli2+ second half.
8.Ligi kuu EPL
Huku kuna jamaa mmoja sahv anaitwa MSALABA WA JUMUIYA,
Maana ake kila nyumba lazima uipitie.
Huyu anaitwa Manchester city, huyu tokea Ligi ya EPL imeanza mechi zake za home, 95% zimeshuhudia goli 1+ first half
Pia ktk away matches,
jana akicheza na Newcastle ndo ilkua mara yake ya kwanza kutoka bila goli 2nd half akicheza away tokea msimu umeanza.
9.Ligi kuu france
Huku kuna tajiri mmoja anajiita psg
Huyu msimu huu akiwa home ground, hasa hasa akicheza na bottom 10.
Humaliza biashara mapema kabisa 1st half
Kwny mechi zote alzocheza home ground, 88% zimeshuhudia over 0.5 first half.
10.Ligi kuu Belgium
Huku kuna chief mmoja anaitwa Club Brudge.
Aisee huyu ukijua anacheza home ground na wale bottom 10.
Unatia kabisa Over 0.5 afu Muhudumu anaongeza glass.
Dah, INATOSHA KWA LEO.
NI WENGI SANA aisee WANAOTOA over 0.5 first half.
WENGINE TUTAZIDI KUELIMISHANA HUMU HUMU KADRI SIKU ZINAVOSONGA.
Ni hayo tu mkuu.