Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Big stake
 
Attachments

  • Screenshot_20171228-121014.jpg
    Screenshot_20171228-121014.jpg
    43.9 KB · Views: 48
Dah,
Jamani Ligi ya ivory coast raha sana.

Yaani Ligi nzima, first half ni Draw kwa 99%

MNAO TUMIA KAMPUNI NYINGN, HII NI ADVANTAGE KWENU.

HUYU MUHINDI WA PRINCESS KAAMUA KUTUBANIA OPTION YA "FIRST HALF" KWNY MECHI ZA HII LIGI
 
Princessbet wahuni tu hela yangu nimeshinda jana hawataki kuniingizia hii sio biashara sifa ya biashara ni kila mtu apate sasa hawa wanataka wale wao tu this is injustice kabisa
 
Mkuu ukishatupia naomba unitag, jana mikeka miwili tumeenda sawa
 
ARSENAL (2.5 over)
Point 1.70 ukizidisha mara laki unapata kama 170,000
Wale wazee wasingle beti
Hela hiyo
Ukiliwa nidai na onesha mkeka pia ukilipa
 
Princessbet wahuni tu hela yangu nimeshinda jana hawataki kuniingizia hii sio biashara sifa ya biashara ni kila mtu apate sasa hawa wanataka wale wao tu this is injustice kabisa

Mimi game ya Kilmarnock ilikuwa Abandoned mpk sasa hawajaupdate mkeka wanilipe ambazo zimeshatoka ...wameshikilia hela yangu! ... nimewacheck wanasema nisubiri saa 24

[emoji16] [emoji16]
 
Wakuu anaejua utaratibu wa single bet,meridian bet.Nikiweka timu moja naambiwa timu ziwe zaidi ya 3,hii imekaaje wakuu.
 
Hawa jamaa wanajiita mcheza bet wapuuzi sana....juzi nilifungua a/c kuwatest ladha yao, jana nikaweka mpunga wakanipa bonus ya 100% ya pesa niliyodeposit kasheshe ilianza baada ya kutengeneza mkeka kila nikitaka kuplace bet naambiwa Min odds must be higher, please read bonus rule
Nikajaribu kuweka stake niliyodeposit nayo wapi..
Customer care yako nayo mbovu tu..
☹☹☹☹☹
 
Back
Top Bottom