Hii naiweka kama mtajiMKEKA No. 1
LEO NAANZA NAMNA HII
Odds: 2.60
Stake: 58,000 Tsh
Marejesho : 150,800 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 661765
nimeisevu hii meseji kwa ajili ya rejea za baadae
Dah, yaan mechi za leo zmekaa hovyo hovyo.DeepPond shusha mkeka mwingine....wazee wa kukopi tunasubiri kwa hamu
Tunasubiri chiefDah, yaan mechi za leo zmekaa hovyo hovyo.
Sijui hata mikeka 3 km ntafkisha leo
Mkuu umeuliza swali nililomuuliza mana si kwa ujasiri huo, duhIko premierbet mkuu
Du hii inahitaji moyo aisee! Mkuu ulijisikiaje muda ulipokuwa unasogea huku Fernabahce hapati goli?
Sahv nko nabet in play hz game za Tunisia.Tunasubiri chief
ndio hao hao, hata mimi sitarudia tena kuweka pesa hukondio hao wa kutumia dusupay? mpaka leo 5000 yangu haijarudishwa kwrnye mpes account wala kwao haikufika nimechat nao sana majibu hayana solution yoyote simshauri mtu kujiunga nao kwa sasa mpaka watakapo rekebisha njia za malipo
daah aksante... sirudii tena kujiunga na vikampuni uchwara...Wapuuzi sana..nenda sehemu ya bonus,then cancel..itakubali kwa hela uliyodeposit..bonus itafutika
Pamoja chief...daah aksante... sirudii tena kujiunga na vikampuni uchwara...
Ulishinda na unaiona kwa Akaunti?Princessbet wahuni tu hela yangu nimeshinda jana hawataki kuniingizia hii sio biashara sifa ya biashara ni kila mtu apate sasa hawa wanataka wale wao tu this is injustice kabisa
Na mm nimewapa hao wawili.View attachment 661815 Jamani hapo vipi nataka niongezee mtaji kabla ya mechi za usiku nitatoboa?