Hiyo screenshot niliyopost hapo juu umeiyona?Ahahah na mimi nilienda kuchungulia nikaona anadanganya nikampotezea.
KAMA ULIHISI NATANIA MZIGO HUOHahahaaaaaaaa MPE na ov 2,5 kabisa na ov 3,5
Ongeza na gg inapendeza zaidi
Dakika ya 37 hivi sasa Bet WON by 1-3Super Single Bet
Perugia vs Empoli Over. 2.5
ODDS 1.95
Weka Nyumba, uje na Mrejeshoo
Cs 3-0/4-1
Well-done mpwaaaa sikuiacha kwaimani yakuweka mke tupoteze woteDakika ya 31 hivi sasa Bet WON
Odd za bure hizi za kujazia
10mins results
X-Draw ni Odd 1.21
C.Palace V Arsenal
Una wenge tu mkuuAfadhali. Kumbe madogo ni "chenga twawala"! Pressure inapanda, pressure inashuka!!!!
Empol huwa hawadanganyiSuper Single Bet
Perugia vs Empoli Over. 2.5
ODDS 1.95
Weka Nyumba, uje na Mrejeshoo
Mkuu, mkeka no. 1 ulisha chanwa na Saudi Arabia sababu Saudi Arabia kafungwa 2-0, hapo hatuna chetu tena kwa iyoo option ya 2HMKEKA No. 1
Biashara na akina arsenal tyar.
C. Palace kesharuhusu goli tayar.
Tunatia [emoji736] View attachment 662258
Kama ulimpa saidia Arabia ulibugi mwnyw kucopy,Mkuu, mkeka no. 1 ulisha chanwa na Saudi Arabia sababu Saudi Arabia kafungwa 2-0, hapo hatuna chetu tena kwa iyoo option ya 2H