Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Nilimpa WIN lakini naona watoto wanampelekesha sana.
Punguza uoga mkuu kwa hizi stats hao watoto hawajapiga hata shuti moja golini
Nilimpa WIN lakini naona watoto wanampelekesha sana.
Possesion ya LAST FIVE MINUTES au ya jumla? Possesion ya jumla watoto wanaongoza.Kaelemewa kiaje mkuu mbona possesion anaongoza yeye, shot on target yeye 5 mwenzie 0
Haya la 3 iloPossesion ya LAST FIVE MINUTES au ya jumla? Possesion ya jumla watoto wanaongoza.
Tuliza tu presha Mkuu, now ni 3-0.......hao madogo hata shot on goal hawanaPossesion ya LAST FIVE MINUTES au ya jumla? Possesion ya jumla watoto wanaongoza.
Afadhali. Kumbe madogo ni "chenga twawala"! Pressure inapanda, pressure inashuka!!!!Tuliza tu presha Mkuu, now ni 3-0.......hao madogo hata shot on goal hawana
ahahaaa acha wauaneAl-Ittihad FC 3 - 3 Al-Faisaly
v za njenjee kamaumezimisi..hip n dk yangapi ama ftAl-Ittihad FC 3 - 3 Al-Faisaly
Hawa washenzy si wamegeuza possession! Basi wamenipa pressure weeeee!View attachment 662090
Punguza uoga mkuu kwa hizi stats hao watoto hawajapiga hata shuti moja golini
dkk ya 79v za njenjee kamaumezimisi..hip n dk yangapi ama ft
Mkuu au upo viti virefu naona besikitas alikua akuvuruga vuruga hatari kumbe livescore inaleta matokeo kinyume nyume [emoji1] [emoji1]
Pole Mkuu mi ndio sabab nilikua sikuelewi kabisa
Ahahah na mimi nilienda kuchungulia nikaona anadanganya nikampotezea.View attachment 662090
Punguza uoga mkuu kwa hizi stats hao watoto hawajapiga hata shuti moja golini