Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKUU GODZILA
NAAMINI UKOSIKUNYINGI HAPA NAAMINI UNANIKUMBUKA. HUWA NANYOOSHA .NILISHAWAHI KUKUSHAURI CHUKUA HUKU YANAYOKUFAAA WE SWALA LA AMELIPA AJAIPA HAITAKUSAIDIA...KUMBUKA ANAKIUWEKEA BUREE UNAAMUA MWENYEWE UGWATE USIFWATE

KIZURIZAIDI ANAWEKA TIPS UNAIONA UNAWEZA ANGALIA MWENYEWE WOOON OR LOST..KAMA MKEKA UNASHINDA WEWE TKT ZA MTU ZA NINI..

UNAKUMBUKA ULIWAHI KUNILAUMU SANA HUMU HATA UKAWEKA GRP LAKOMOJA NKAJIUNGA NALO ILE NIMERUSHA TU TIPZ HIZI ZA WOOOON UKANIONDOA ...

TUFIKE WAKATI TUWE KITU KIMOJA ATUKUJA KUANGALIA NANI ZAIDI YA MWENZIE AMA HUYU MPAKA AWEKE TKTS ZAKE..

KIBAYAAA KTKT WATU WANAOJISAHAU AWANA KUMBUKUMBU N WEWEE GODZILA...UNASIFIAA WATU UNASHUKURU GAFLA UNAWAGEUKA

MIMI ULISHAWAHI KEMEA SANA PRED ZANGU KUISHIA KUSEMA AZINA MAANA NA WENZIWAKO DARMIANI NK....

NI WEWEEE WEWEWW UNAKUJA INBOX KUOMBA SRC YA HIZOO APP HAPO NDIPO NKACHOKA LAKINI KWANUPENDO NILIKUPA ZOTE ULIZOITAJI

TUMEPATA MTUA ANACHAGUA TIMU KWENYE PRED NA ZINASHINDA TUMSHUKURU TUACHANE NA UNAFIKI KAMA NA WEWE UKO KAMA DARMIAN NAHISI UTATESEKA HUMU

DARMIAN ALISHAWAHI ONGEA MBOVUSANA NA HIZI TIPS ZA WOOOOON UNAZOZIONA ....NIKAMNYOOSJHA SIKUMOJA NKAMWAMBIA KACOPY HIZO UKIKOSA NJOO NITUKANE AKURUDI TENA

NINACHOMWONAAA ANA MATATIZO PALE ANAPOPIGA KELELE ZA TIPS ZA MWENZIO ASIWEKE ZAKE WATU WAFURAHI PAMOJA

LENGO LETU KUMPIGA MHINDI LETENI TIPS SRS TOYOTE MWENYE KUME ZA ATAMEZA

NAWATAKIA MAISHA.MEMA PRED HUMU NILISHASEMA AZIIISHI YATABADILIKA MAJINA TU SIMU IKIISHA CHARGE

RGDS

PDIDY
Chief umeongea ukweli jamaa ni mnafiki SANA na Ana wivu wa kijinga . Nashauri tuwaache hao wapumbavu
 
MKUUU HUMU TUKO KWA AJILI YA UPENDO..NENDA JUKWAA LA MAPENZI HUKUTI WATU HIVI WANASHARE IDEAS..LAKINI UKpinda m nanyoosha wakowengi tuu walipinga sana predi sasa MUNGU KALETA MTU ANAWATOLEA TIMU ZA USHINDI MNAANZA KELELEEE LETENI ZENU BASI TUSHARE ZA WENGINE WAACHIENI WATAKAOTAKA KUCHUKUA .NAAMINI KILA MTU ANABET KUFWATA MOYO UNAVYOMTUMA ...

LETS LOVE LEAD
GDZILA ACHANA NA UNAFIKI WAKINA DARMIAN NA MASHOGA WENZIE HUMU..FWATA TIPS CHUKUA UNAZOAMINI AUZIAMINI WAACHIE WENGINE ....
Mi nawasiwasi wanatumika na Kanji hao kuja kuwavunja watu mioyo kama akina Deeppond ili tuendelee kupigwa na kanji
 
MKEKA No. 1

Odds: 2.65

Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,800 Tsh

Nb: huyo wa kwanza ni Newcastle jets wanaume, huyu wa mwisho NI newcastle jets wanawake.

Mapambano yanaendelea
View attachment 662428
Naona odds zinatafauti kubwa SANA zako nimekosea selection nini ??
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-29-10-03-06.png
    Screenshot_2017-12-29-10-03-06.png
    43.8 KB · Views: 63
  • Screenshot_2017-12-29-10-02-55.png
    Screenshot_2017-12-29-10-02-55.png
    43.3 KB · Views: 57
dah kuna watu watu wana akili ndogo sana au eti anajiita msomi! huyu mm namuona mpumbavu na lofa tu ,yaani DeePond aweke slip aliyolipia humu ili iweje?mbona ww hujawahi kuweka yako!!au mtaji umempa ww ..ww inaonakana huko unakoishi unapenda sana kuchungulia maisha ya watu
 
P Didy,Deepond endeleeni kuturushia tip zenu hapa mchango wenu ni mkubwa sana hapa jukwani.
Msikatishwe tamaa na huyo mtu mmoja tupo pamoja.
 
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii


Wewe jamaa utakuwa wakala wa kanji unataka kutuvuruga au una elements za uchawi. Watu tunampiga kanji kupitia DeepPond wewe unaleta usela mavi.

Jiheshimu kwasababu hujalazimishwa kumfuata mtu humu.
 
DeepPond naheshimu sana kazi zako na kwa moyo wako wote unaojitolea, Mungu azidi kukubariki kaka.
Mkuu kwa sisi wenye mitaji midogo tufanye nini mana odds nyingi za ushindi ziko ndogondogo sana?
 
Wewe jamaa utakuwa wakala wa kanji unataka kutuvuruga au una elements za uchawi. Watu tunampiga kanji kupitia DeepPond wewe unaleta usela mavi.

Jiheshimu kwasababu hujalazimishwa kumfuata mtu humu.
Mkuuu ulishawahi kula million kwenye kubeti.........[emoji115]
 
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii

Acha uzezeta, mtu kulipia au kutolipia haikuhusu. Chagua baadhi ya timu kwenye mkeka wake kama unataka, kama hautaki unakausha. Sio unaleta habari za kike, eti mbona halipii.
 
Back
Top Bottom