Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi binafsi ndio maana sipendi kuchangia majibizano yasio na maana

Hiko Hivi:
Betting ipo kama wewe (Mchezaji unavyoichukulia), maana yake ni hii, ukiichukulia kama mchezo wa kukufurahisha basi ndivyo itakavyokua na ukiichukulia kama kazi kwako ama biashara kwako ndipo itakavyokua, hapo unaweza kuta una mil hadi 5 na kila siku unazicheza kwa odds 2 au 1.5 nk.

Sasa usilazimishe vile unavyochukulia kimtazamo wako ama vile jinsi inavyokufaidisha iwe sawa na mwenzio..Its crazy aisee iache iwe ilivyo tu, kama wewe kwako unajifurahisha mwache anayeifanya biashara na kupata faida aendelee kufanya yake

Asanteni nyote (wafanyabiashara/Wawekezaji na wanaojifurahisha)
chief leo hujatupia?
 
Sina cha kuongeza kaka we jembe na una mtazamo positive hii kwangu ni kama biashara Leo napata kesho nakosa lkn pia si tu biashara Bali ni biashara ninayoipenda yaani ni mtu was soccer pia nabet kwa ninachokijua mfano for real jana niliweka multibet ya mech normal mechi 5 za odd 2.6+ kwa 2000 nkashinda tsh= 200000 yangu chap ,,,nmekuelew upo on point mpaka unakera big up mkuu
 
upload_2017-12-29_14-10-35.png

Slot No.1 BET WON, wakati nyinyi mnakomaa kubishana asubuhi tuliendelea na kazi tukashindwa hata kuwa include
 
kazi ya Mungu haina makosa ndo uumbaji wa Mungu huo.
chief nimekosea kucopy hallow nimechukua hii Melbourne City FC v Wellington Phoenix FC DOUBLE CHANCE X2 nahisi kama nishapoteza mkeka lakini kwa Imani hakuna kinachoshindikana
Yan mkuu umeenda kama daah bas tuu
 
A

ACHANAAA NA MAAJENTI WA SHETANI HUMU NDANI USILETE TENA ...WANAKUWA KAMA AWAJASOMA NANI KAKWAMBIA KUNA BABAZAOO HUMU wANAGAWA PESA za BURE THY HAVE TO FIGHT FOR their DESTINY allah
Mkuu usipanic huyu Godzila anapaswa kuomba msamaha kama uthibitisho ashaupata......mapambano yaendelee tuachane na hawa wapuuzi kina Godzilla na wenzake
 
Wigan Athletic - Charlton Athletic
Wigan Athletic
1.40

Sporting Braga - Portimonense SC
Sporting Braga
1.52

Al-Ain - AL Wahda Scc (UAE)
Over 1.5 goals
1.19

Al-Wasl - Al-Nasr SC Dubai
Over 1.5 goals
1.22

Persepolis FC - Tractor Sazi Tabriz FC
Persepolis FC
1.44

Al Nasr Riyadh - Al Ahli Jeddah
Over 1.5 goals
1.19

Sambenedettese - Unione Sportiva Fermana
Under 1.5 goals (First Half Results)
1.26

FC Sudtirol - Pordenone
Under 1.5 goals (First Half Results)
1.27

Qatar - Bahrain
Under 1.5 goals (First Half Results)
1.21

FC St Mirren - Dundee United
Over 1.5 goals
1.27

Total Odds 13.02.......unaweza cheza zote ama ukaokota baadhi nyandaad
 
*ENGLISH ALERT ⚠ *

69G5HQS

2 ODD

Code 4442 Date 29/12/2017 20:45
Event Millwall - QPR
Live/Prematch Normale Selection (2:0) 1 H

Code 4443 Date 29/12/2017 20:45
Event Doncaster - Rochdale
Live/Prematch Normale Selection (1:0) 1 H

Code 4444 Date 29/12/2017 20:45
Event Wigan - Charlton
Live/Prematch Normale Selection 1

Code 6458 Date 29/12/2017 20:45
Event Morecambe - Yeovil Town
Live/Prematch Normale Selection (0:2) 2 H

[HASHTAG]#BELIEVE[/HASHTAG]
Mkuu hizi ni Handicap au maana sijaelewa kidogo
 
HABARI ZA MCHANA WAKUU.

Kiukweli

Honestly, from my heart.

nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.

Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,

Afu nawadanganya watu humu ndani.

Eti inawezekana, hata huwa sibet.

Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,

Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,

Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.

Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Naomba umupuuze tu ndugu yangu,ukweli humuweka mtu huru.Huyu ametumwa sio bure.
 
DeepPond achana na wazushi....wewe endelea kutupia mikeka....sisi tunaocopy tunashinda tunarudi kukushukuru tunatosha kabisa....
 
Back
Top Bottom