Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
HABARI ZA MCHANA WAKUU.
Kiukweli
Honestly, from my heart.
nmesikitika sana kwa kilichosemwa na ndugu yangu Godzilla na wengine wachache humu ndani.
Mtu anasema kila mara huwa napost mikeka ambayo haijalipiwa,
Afu nawadanganya watu humu ndani.
Eti inawezekana, hata huwa sibet.
Bad enough wanasema mm ni agent wa Muhindi,
Worse enough Huyu godzilla ndo kila mara anaomba ushaur wangu,
Pia na mikeka yangu kila mara anakula pesa kwa kucopy mikeka yangu.
Dah, IMENIUMA SANA ndugu zangu
View attachment 662571
Mkuu achana nao hao, yaani tena kupost hivi au kujibishana nao unawapandisha sana.
Watu tunaona matunda, wao wanaleta uchawi.
Kwa kifupi mkuu wewe endelea, Mwenyezi Mungu atakubariki tumnyooshe huyu muhindi.
By the way mkeka wetu namba moja game za asubuhi tayari tushamalizana kazi