Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Hapo sawa.. naona kuna Rockets na Memphis pia wanaweza toa pesa
Hao labda uwape under, Memphis wanacheza full D na watamkaba sana Harden.
Siku za nyuma ungempa Memphis lakini siku hizi hawako consistent kabisa.
